Nafikiri ambaye ni mtundu zaidi ni huyo ama mzazi au mlezi anayejua kwamba anaishi na watoto halafu bado anaacha vitu ki hasara hasara. Hata ukiwachapa haisaidii kwani sana sana watakuwa wamekufundisha wajibu wako wa kuhifadhi vitu vizuri hasa unapokuwa na watoto wadogo. Imagine kama yangekuwa madawa? Nani kauwa?