Watoto wawili wa familia Moja wajinyonga hadi kufa ndani ya kipindi cha Miezi 10

BigTall

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2022
Posts
706
Reaction score
1,716
Tukio la kusikitisha na lililoshangaza wengi limetokea katika Kijiji cha Usari Wilayani Hai, Mkoa wa Kilimanjaro baada ya kijana Mmoja ajulikanaye kwa jina la Babuu Vincent kujinyonga kwa kutumia mtandio wa mamake na kufariki Dunia.

Tukio hilo limetokea ikiwa ni miezi michache tangu mdogo wake wa tumbo moja kwa jina la Josephat Vincent kufariki kwa kujinyonga pia Desemba 2024.

Baadhi ya majirani wameshangazwa na maamuzi waliyochukuwa vijana hao huku wakimuacha mama yao ambae ni mjane katika hali ya majonzi yasiyoelezeka huku sababu za kujinyonga kwao ikiwa haijulikani.

Mwenyekiti wa Kijiji hicho, Wilfred Michael amethibitisha kutokea kwa tukio hilo katika Kijiji chake na kusema kuwa polisi walifika mara moja na kuchukua mwili wa marehemu kwenda kuifadhi kwa ajili ya mazishi.
 
Mama atembelee wazee. Kabla n yeye hajajinyonga
 
Kujinyonga ni hatua ya mwisho ya ukichaa
 
Back
Top Bottom