Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Natamani kesho niwe Mwanza kwa ajili ya kushangaa mawe, samaki, pamoja na ziwa, lakini bado kupata connection; vipi wakuu watoto wazuri wapo huko?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nipe locationTupo....
Nsangamwalugesha hapaNipe location
Nimeshindwa kulitamka hilo jina, nitapoteaNsangamwalugesha hapa
NakaziaTupo....
2012 member jf niko f4. Bado unatoa location.Tupo....
Marahaba mjukuu wangu, hata nikitoka kuchukua mafao yangu nikipitia bar kuupa mwili pole nitatoa tu location2012 member jf niko f4. Bado unatoa location.
Sikammoo[emoji23][emoji23]
[emoji2089][emoji2089]
2012 member jf niko f4. Bado unatoa location.
Sikammoo[emoji23][emoji23]
[emoji2089][emoji2089]
SikammmoWakati upo form four hujui kutumia smartphone kuna mwenzangu alikuwa form one Ana smart phone na Jf anaijua.
[emoji23][emoji23][emoji23]Marahaba mjukuu wangu, hata nikitoka kuchukua mafao yangu nikipitia bar kuupa mwili pole nitatoa tu location
Watu wazima wanaraha yake Lyn njoo kwa box Nina dodoso la sensa ya watu na watoto wao ya mwaka 2022..come myMarahaba mjukuu wangu, hata nikitoka kuchukua mafao yangu nikipitia bar kuupa mwili pole nitatoa tu location
Jiingize kichwa kichwa huko ndo gamboshiNimeshindwa kulitamka hilo jina, nitapotea
🤣🤣🤣Jiingize kichwa kichwa huko ndo gamboshi
Ukaotwe moto
Sent from my Nokia C1 using JamiiForums mobile app
Hii nsangamwalugesha ipo mwanza au ipo shy?Nsangamwalugesha hapa