Kwel ngoja nfyatue Wangdogo kakupa ujumbe kuwa zaa wako mda umeenda pia hakuna mtoto nuksi kijana utajua hili utakapofika 40's huna bila kuwa na mtoto maana utataman hata huyo nuksi awe wako!
Karibia ingekuwa hatariNimeamka asubuhi na alfu tu, nikamtuma mtoto wa jirani akaninunulie maandazi. Baada ya muda namuona anarudi huku analamba askrimu ya azam. Nikamuuliza maandazi yako wapi? Akanijibu eti alipofika kwenye maandazi akakuta kapoteza hela yangu, wakati anarudi aniambie, njiani kwa bahati akaokota alfu ambayo kuna mtu alipoteza ndio akanunua askrimu....kwa sasa niko polisi na mtoto yuko dispensari na mamake
We fyatua tu hamna xhidaKwel ngoja nfyatue Wang