WATOTO WENGINE SHIDA TU

WATOTO WENGINE SHIDA TU

hidadiho

New Member
Joined
Jan 9, 2017
Posts
3
Reaction score
14
Nimeamka asubuhi na alfu tu, nikamtuma mtoto wa jirani akaninunulie maandazi. Baada ya muda namuona anarudi huku analamba askrimu ya azam. Nikamuuliza maandazi yako wapi? Akanijibu eti alipofika kwenye maandazi akakuta kapoteza hela yangu, wakati anarudi aniambie, njiani kwa bahati akaokota alfu ambayo kuna mtu alipoteza ndio akanunua askrimu....kwa sasa niko polisi na mtoto yuko dispensari na mamake
 
dogo kakupa ujumbe kuwa zaa wako mda umeenda pia hakuna mtoto nuksi kijana utajua hili utakapofika 40's huna bila kuwa na mtoto maana utataman hata huyo nuksi awe wako!
Kwel ngoja nfyatue Wang
 
Nimeamka asubuhi na alfu tu, nikamtuma mtoto wa jirani akaninunulie maandazi. Baada ya muda namuona anarudi huku analamba askrimu ya azam. Nikamuuliza maandazi yako wapi? Akanijibu eti alipofika kwenye maandazi akakuta kapoteza hela yangu, wakati anarudi aniambie, njiani kwa bahati akaokota alfu ambayo kuna mtu alipoteza ndio akanunua askrimu....kwa sasa niko polisi na mtoto yuko dispensari na mamake
Karibia ingekuwa hatari
 
Back
Top Bottom