Mimi Ni Mtu Wa Mungu
JF-Expert Member
- Dec 8, 2021
- 679
- 1,295
Ni kweli.Usisahau kwamba hao waalimu Ni wazazi pia.
Wazazi kwa watoto wao, sio kwa watoto wengineUsisahau kwamba hao waalimu Ni wazazi pia.
ndio maana yangu mkuu ahsanteSerikali ipige marufuku kambi na mabweni uchwara hasa kwa watoto wadogo.
Katika hili kusiwepo na kisingizio chochote.
Mzazi kaa na mwanao mlee mfundishe tabia njema na maadili mema mwenyewe.
Akifikisha 18 angalau anakuwa ameshajua mbivu na mbichi.
Ahsante sana mkuuSiku hizi mnawaachia walimu kazi ya malezi yaani nyie mmejichomoa kabisa eti mpo busy 'kutafuta maisha'
Walimu kazi yao ni kuwafundisha herufi na silabi kwa msingi wa kujua kuandika
1+1, 2+2 kwa msingi wa hesabu
Walimu kumfunda mwanao heshima na tabia njema kwa ujumla sio kazi yao ni ya kwenu
Ni miaka michache mwalimu na mwanafunzi watakuwa pamoja lakini ni miaka yote mzazi na mwanao mtakuwa pamoja
Na kwa hili mwalimu hana hasara hata mwanao akiwa nunda/shoga mwenye hasara ni wewe.
ASUBUHI NJEMA