☠️👾😈👹💉Watoto wanazaliwa na mikia.
Watoto wanazaliwa na manyoya.
Watoto wanazaliwa na jicho moja.
HAPA.
Naamini itakuwa ni huko tu,
sio huku kwetu.
Sisi tumeshachunguza ni salama.
Ni kweli walishakuwepo. Lakini huyu daktari haongelei hao.Watoto wa aina hiyo wamekuwa wakizaliwa kabla hata ya chanjo.
Hata hivyo hakuna uovu unaojificha daima. Waovu watakuja hadharani tu iwe ni watoa chanjo au wapinga chanjo. Ni suala la muda.