Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,058
- 2,195
Wadau,nina binamu yangu ambae amehitimu toka mwaka 2008 bcom-Accountn toka chuo flan hapa dar,juz alikua kwenye interview huko mwanza na wenzie wengi tu wa vyuo vngne kama mzumbe,cbe,ifm,sua nk lakin cha kushangaza eti hiyo organization imechukua graduates wa sua kwenye position zote mbili yan ya economist na Accounting.swali,hvi inawezekanaje watu waliosoma kilimo na mifugo wafit kwenye hzo positions au ndo hyo kampun inataka kuwalipa kiduchu hao wajamaa coz wameajiriwa kwenye zisizo zao au hao jamaa wa sua wana nini special?