Wats so special with SUA graduates?

Wats so special with SUA graduates?

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
Wadau,nina binamu yangu ambae amehitimu toka mwaka 2008 bcom-Accountn toka chuo flan hapa dar,juz alikua kwenye interview huko mwanza na wenzie wengi tu wa vyuo vngne kama mzumbe,cbe,ifm,sua nk lakin cha kushangaza eti hiyo organization imechukua graduates wa sua kwenye position zote mbili yan ya economist na Accounting.swali,hvi inawezekanaje watu waliosoma kilimo na mifugo wafit kwenye hzo positions au ndo hyo kampun inataka kuwalipa kiduchu hao wajamaa coz wameajiriwa kwenye zisizo zao au hao jamaa wa sua wana nini special?
 
Unaijua agri business? Ungeanza kwa kutafuta contents za hiyo course, model ya evaluation ya chuo na ungetafiti kuhusu huyo individual wa sua ana uwezo gani utuwekee hapa na za kwako afu tuanze kujadili. Tusiishi kwa speculations tu.
 
kwan sua,c is all about kilimo na mifugo au?
 
Yale yale form one wanaendelea na thread zao,mkuu mada kama hzi ma GT wa JF hatuzijadili tena maana thread yako imekaa kibishani,LABDA edit kwa kuuliza kama sua wanatoa economist na accountant,hata hvyo kuna (MUCCOBS pia campus ya SUA) nao wanatoa haya makitu(am ready to be corrected)
 
Graduates wa sua wanafit everywhere na wanapiga kazi sana maana chuo chao kinamchakamchaka wa ajabu kwahiyo hutoka wakiwa hardworker na masomo yao mengi ni yale ya faida kwa jamii za watanzania ambao wengi ni wakulima. Ukiangalia hicho ndicho huenda kilichompa upendeleo
 
Mkuu wale jamaa wanadeal na kufuga panya,nguruwe,utalii watakuwa cheap labour?nauliza
 
kwan sua,c is all about kilimo na mifugo au?
we jamaa kila siku unakosea, tatizo lako bado unaukungu wa kujua mambo to be skeptical to a known content that is foolishnes! 'igorance and bad teeth always have something common,when you keep mouth open you make them seen obviously'
 
kwan sua,c is all about kilimo na mifugo au?
Sua is'nt all about kilimo, lakini hawakuwa na digree ya uhasibu, tusidanganyane!
Sema inawezekana huyo mwenye bcom acc. anaweza akawa ni zobe au ana poor degree, au waajiri pia wamesoma SUA kwani ni tabia common Tanzania!
 
mtabaki mking'ang'ania SUA chuo cha kilimo. Lakini mkae mkijua graduates wake watamaliza, na wataajiriwa na kwa mishahara MIZURI TU. Nyie endeleeni kubishana tu, wenzenu wa SUA + MUCCOBS. wataendelea kupiga mzigo. Utaendelea kubaki kusema nimesoma chuo kizuri na kizee kuliko vyote Tanzania, wakati unasota mtaani kwa miaka mitatu jobless.
 
Hey hao wa sua nadhani wametoka ile campus ya muccobs maana hata wahitimu wa muccobs transcript zao zinatoka sua kama alivyosema mchangiaji mmoja hapo.
 
kwan sua,c is all about kilimo na mifugo au?

sua kozi zote sio za kilimo. Kuna Education, Agr.busnes, informatics, tourism &rurali development si za kilimo.
 
sua kozi zote sio za kilimo. Kuna Education, Agr.busnes, informatics, tourism &rurali development si za kilimo.

asante kwa kunijuza mkuu,me nlijua sua ni chuo cha kilimo na tiba za mifugo kama jina lake lilivyo.
 
Mshenzi mkubwa wewe..anafuga panya mama yako...usifharau shule tulizosoma mpumbavu wewe

punguza hasira ndugu yangu,humu jf ukiwa na hasira utajikuta unatukana kila mtu..
 
Mshenzi mkubwa wewe..anafuga panya mama yako...usifharau shule tulizosoma mpumbavu wewe

kigogo mbona jazba kama Nape alivyosikia anaitwa mahakamani Arusha kufundishwa maana ya uhuru wa mahakama,nilikuwa nauliza au unahamu ya BAN
 
Kumbuka kuna options kuna mchizi wangu kamaliza SUA Wildlife ila kasoma Accounting sasa endapo ajira ipo kwanini asiajiriwe?
 
Graduates wa sua wanafit everywhere na wanapiga kazi sana maana chuo chao kinamchakamchaka wa ajabu kwahiyo hutoka wakiwa hardworker na masomo yao mengi ni yale ya faida kwa jamii za watanzania ambao wengi ni wakulima. Ukiangalia hicho ndicho huenda kilichompa upendeleo

Ok nilikuwa sijui kama graduates wa sua wanafit everywhere. Nina ndege hapa inahitaji pilot hawapatikani. Pls graduates wa SUA karibuni
 
Back
Top Bottom