Unaijua agri business? Ungeanza kwa kutafuta contents za hiyo course, model ya evaluation ya chuo na ungetafiti kuhusu huyo individual wa sua ana uwezo gani utuwekee hapa na za kwako afu tuanze kujadili. Tusiishi kwa speculations tu.
we jamaa kila siku unakosea, tatizo lako bado unaukungu wa kujua mambo to be skeptical to a known content that is foolishnes! 'igorance and bad teeth always have something common,when you keep mouth open you make them seen obviously'kwan sua,c is all about kilimo na mifugo au?
Sua is'nt all about kilimo, lakini hawakuwa na digree ya uhasibu, tusidanganyane!kwan sua,c is all about kilimo na mifugo au?
kwan sua,c is all about kilimo na mifugo au?
Mshenzi mkubwa wewe..anafuga panya mama yako...usifharau shule tulizosoma mpumbavu weweMkuu wale jamaa wanadeal na kufuga panya,nguruwe,utalii watakuwa cheap labour?nauliza
Mshenzi mkubwa wewe..anafuga panya mama yako...usifharau shule tulizosoma mpumbavu wewe
Mkuu wale jamaa wanadeal na kufuga panya,nguruwe,utalii watakuwa cheap labour?nauliza
Graduates wa sua wanafit everywhere na wanapiga kazi sana maana chuo chao kinamchakamchaka wa ajabu kwahiyo hutoka wakiwa hardworker na masomo yao mengi ni yale ya faida kwa jamii za watanzania ambao wengi ni wakulima. Ukiangalia hicho ndicho huenda kilichompa upendeleo