Nukta5
JF-Expert Member
- Jun 7, 2014
- 1,182
- 1,288
1. Steve Jobs
Inawezekana komputa za Mac na bidhaa nyinginezo kama iPhone zisingekuwepo kama Steve Jobs angebakia chuo.
2. Bill Gates
Moja wa watu walioacha chuo Harvard na wamefanikiwa na ni tajirimkubwa duniani. Mwanzilishi wa Microsoft. Kauli aliyoitoa kwenye mahafali pale Harvard mwaka 2007 alisema Mimi ni mshawishi mbaya ndio maana mmeniita niongee wakati wa mahafali. Ningeongea wakati wa kuanza masomo yenu ni wachache sana mngekuwepo hapa.
3.Frank Lloyd Wright
Mbunifu mkubwa wa vyuo vingi marekani lakini hajawahi kuhudhuRia hata kimoja. Ingawa Frank Lloyd Wright
alichaguliwa kwenda chuo cha
Wisconsin-Madison mwaka 1886,
lakini aliacha baada ya mwaka
mmoja.
4. Buckminster Fuller
Bwana Huyu alifukuzwa Harvard
mara mbili lakini ni mtu ambaye
amefanikiwa sana na kuleta mawazo
mapya katika ulimwengu huu. He
was expelled from Harvard twice:
first for spending all his money
partying with a vaudeville troupe,
and then, after having been
readmitted, for his irresponsibility
and lack of interest.
5. James Cameron
Muongozaji maarufu wa filamu za
Hollywood aliyetengeneza filamu
nyingi za kubuni na za kisayansi na
zenye gharama kubwa zikiwemo
Titanic na Avatar.
6. Mark Zuckerberg
Mwanzilishi wa mtandao wa
Facebook na aliyekuwa mwanafunzi
wa Harvard. Baada ya Facebook
kuanza kupata umaarufu aliamua
kuacha chuo.
7. Tom Hanks
Mwigizaji maarufu aliyeamua kuacha
chuo Sacramento State na kujiunga
na Great Lakes Theater Festival kule
Cleveland, Ohio. Huko akajifunza vitu
vingi kumfikisha kuwa moja ya
waigizaji na watengeneza filamu
maarufu huko Hollywood.
8. Harrison Ford
Jamaa hut=yu aliacha chuo pale
Ripon College siku chache kabla ya
kumaliza. Ni moja ya watu
waliofanya vitu vikubwa kwenye
filamu za Star wars miaka 1977.
9. Lady Gaga
Kabla ya kuwa Gaga, alikuwa
anaitwa Germanotta. alizaliwa
na Stefani Joanne Angelina
Germanotta, msanii ambaye kwa sasa
anaitwa Lady Gaga alianza
kusoma New York Universitys Tisch,
Shule ya Usanii na baada ya hapo
aliacha chuo baada ya mwaka mmoja
na kuanza uimbaji wake pale New
York club na kuweza kusaini mkataba
wake na Interscope Records akiwa na
miaka hiyo hiyo 20.
10. Tiger Woods
Mtu maarufu katika mchezo wa golf,
baada ya miaka miwili aliacha
kusomea uchumi pale Chuo cha
Stanfold, kwa sasa analipwa zaidi ya
dola milioni 100 kwa mwaka.
source: bongo5
Inawezekana komputa za Mac na bidhaa nyinginezo kama iPhone zisingekuwepo kama Steve Jobs angebakia chuo.
2. Bill Gates
Moja wa watu walioacha chuo Harvard na wamefanikiwa na ni tajirimkubwa duniani. Mwanzilishi wa Microsoft. Kauli aliyoitoa kwenye mahafali pale Harvard mwaka 2007 alisema Mimi ni mshawishi mbaya ndio maana mmeniita niongee wakati wa mahafali. Ningeongea wakati wa kuanza masomo yenu ni wachache sana mngekuwepo hapa.
3.Frank Lloyd Wright
Mbunifu mkubwa wa vyuo vingi marekani lakini hajawahi kuhudhuRia hata kimoja. Ingawa Frank Lloyd Wright
alichaguliwa kwenda chuo cha
Wisconsin-Madison mwaka 1886,
lakini aliacha baada ya mwaka
mmoja.
4. Buckminster Fuller
Bwana Huyu alifukuzwa Harvard
mara mbili lakini ni mtu ambaye
amefanikiwa sana na kuleta mawazo
mapya katika ulimwengu huu. He
was expelled from Harvard twice:
first for spending all his money
partying with a vaudeville troupe,
and then, after having been
readmitted, for his irresponsibility
and lack of interest.
5. James Cameron
Muongozaji maarufu wa filamu za
Hollywood aliyetengeneza filamu
nyingi za kubuni na za kisayansi na
zenye gharama kubwa zikiwemo
Titanic na Avatar.
6. Mark Zuckerberg
Mwanzilishi wa mtandao wa
Facebook na aliyekuwa mwanafunzi
wa Harvard. Baada ya Facebook
kuanza kupata umaarufu aliamua
kuacha chuo.
7. Tom Hanks
Mwigizaji maarufu aliyeamua kuacha
chuo Sacramento State na kujiunga
na Great Lakes Theater Festival kule
Cleveland, Ohio. Huko akajifunza vitu
vingi kumfikisha kuwa moja ya
waigizaji na watengeneza filamu
maarufu huko Hollywood.
8. Harrison Ford
Jamaa hut=yu aliacha chuo pale
Ripon College siku chache kabla ya
kumaliza. Ni moja ya watu
waliofanya vitu vikubwa kwenye
filamu za Star wars miaka 1977.
9. Lady Gaga
Kabla ya kuwa Gaga, alikuwa
anaitwa Germanotta. alizaliwa
na Stefani Joanne Angelina
Germanotta, msanii ambaye kwa sasa
anaitwa Lady Gaga alianza
kusoma New York Universitys Tisch,
Shule ya Usanii na baada ya hapo
aliacha chuo baada ya mwaka mmoja
na kuanza uimbaji wake pale New
York club na kuweza kusaini mkataba
wake na Interscope Records akiwa na
miaka hiyo hiyo 20.
10. Tiger Woods
Mtu maarufu katika mchezo wa golf,
baada ya miaka miwili aliacha
kusomea uchumi pale Chuo cha
Stanfold, kwa sasa analipwa zaidi ya
dola milioni 100 kwa mwaka.
source: bongo5