Awaache kule aje bara tumpe nchi. Huyu mimi binafsi nina imani naye anaweza akatuvusha.Kundi la watu 11 likiongozwa na Balozi Ali Karume limetajwa kuunda mkakati maalum wa kuikwamisha Serikali Ya Dkt. Hussein Mwinyi, visiwani zanzibar.
Taarifa za mawasiliano kupitia group lao la WhatsApp Zimevuja zinaonyesha namna wanavyopanga kuihujumu serikali hiyo kwa kutoa taarifa chonganishi kati ya serikali na wananchi ili zichapishwe mtandaoni.
Wasafi FM
walitoka ngapi ngapi na Wizara ya Afya?Wizara ya Afya ilimshinda. Bado mkampa nchi[emoji23]
SwadaktaUmagufuli ndio unahitajika huko, basi
HalalamikiAnalalmika nini wakati yeye mwenyewe aliingia kwa wizi wa kura.
Hakuna cha Duh wala nini , njia haramu alizotumia kuingilia ndizo zitakazomng"oa
Hivi hii nchi ina usalama wa Taifa ama usalama wa viongozi pekee?Kundi la watu 11 likiongozwa na Balozi Ali Karume limetajwa kuunda mkakati maalum wa kuikwamisha Serikali Ya Dkt. Hussein Mwinyi, visiwani zanzibar.
Taarifa za mawasiliano kupitia group lao la WhatsApp Zimevuja zinaonyesha namna wanavyopanga kuihujumu serikali hiyo kwa kutoa taarifa chonganishi kati ya serikali na wananchi ili zichapishwe mtandaoni.
Wasafi FM
Karume ndio kaleta Mapinduzi huyu Huseni kaleta Mapinduzi gani?Halalamiki
wanakumbushwa tu kuwa hadi leo Serikali ya Znz bado inaitwa SMZ I.e Serikali ya Mapinduzi Zanzibar
ukichokoza Nyuki ujipange maana wakichokozeka hawana Kamati ya maridhiano hadi wakunyooshe