Watu 11 wadaiwa kumhujumu Dkt. Hussein Mwinyi Zanzibar

Watu 11 wadaiwa kumhujumu Dkt. Hussein Mwinyi Zanzibar

Hussein anapaswa kuwa Jasiri kama Jakaya

kahujumiwa na kundi lililompa Urais 2005 nae akajipanga akalipasua kundi akaunda kikosi kazi cha Ushindi kikamsaidia kuongoza Nchi hadi muda wake ukiasha

Ukicheza na Nyani utaambulia mabua
Hussein Hana kifua soon utamsikia kwenye majukwaa akiliongelea hilo jambo jamaa ni mzuri kiutendaji ila anapenda kupanic ovyo
 
Back
Top Bottom