Mtu kaishia madrasa atujua mambo makubwa hayo kweli ndugu?Ulevi upi sasa hapo mbona kama watu wamevamiwa wakiwa wanaangalia pambano
Kwahiyo ile mito ya pombe kule mbinguni Allah aliyoweka kachemkaKwanini ulevi wa aina yoyote ile umetajwa kuw ni haramu ni kwa vile unasababisha majanga makubwa kwa watu waiso na hatia.Mtume saw kasema ulevi na mama wa maasi.
Watu 12 huko Ecuador wamepigwa risasi na kufa wakati wakishuhudia vita vya kuku.
Seriakali ya nchi hiyo imeshawakamata watuhumiwa kadhaa ikitaja kuwa wahusika wa makundi yanayojihusisha na biashara ya coacaine ambao walikuwa wakiwavizia wenzao waliohisi walikuwa miongoni mwa washabiki wa mchezo huo.
View attachment 3309999
Arrests after 12 shot dead at Ecuador cockfight
Ulevi huko kwa wale walishuti risasi kwa waliokuwa wanaangalia pambano la hao kuku,madawa yakulevya yamewafanya washindwe kufikiri vyema,wakasababisha vifo kwa watu wasio na hatia.Ulevi upi sasa hapo mbona kama watu wamevamiwa wakiwa wanaangalia pambano
Pombe hiyo ya kwenye mito,haitakuwa kama hii ya duniani,inayomfanya mnywaji ajikojolee,alale kwenye ubaraza wa jirani yake hadi kucha,aondokewe akili nk nk.Kwahiyo ile mito ya pombe kule mbinguni Allah aliyoweka kachemka
.Ulevi huko kwa wale walishuti risasi kwa waliokuwa wanaangalia pambano la hao kuku,madawa yakulevya yamewafanya washindwe kufik
i vyema,wakasababisha vifo kwa watu wasio na hatia.
Ushaiita pombe ni kilevi mzee. Allah wenu anawaingiza chaka. Ni kama ile ishu ya Mabikira. Uzinzi uzinz tu nothing more.Pombe hiyo ya kwenye mito,haitakuwa kama hii ya duniani,inayomfanya mnywaji ajikojolee,alale kwenye ubaraza wa jirani yake hadi kucha,aondokewe akili nk nk.
Ndio nasema kama huyo Allah wenu kawaandalia ulevi na ngono then huyo sio Mungu ni binadamu kama wewe.Ukiambiwa kitu kinatoka kwa Mungu (Allah) usibishe mzee
🤣😁🤣Ukiambiwa kitu kinatoka kwa Mungu (Allah) usibishe mzee
Hivyo vitu vi vizuri sana ndio maana kila mtu anavipenda duniani.Ndio nasema kama huyo Allah wenu kawaandalia ulevi na ngono then huyo sio Mungu ni binadamu kama wewe.
Kwanini ulevi wa aina yoyote ile umetajwa kuwa ni haramu ni kwa vile unasababisha majanga makubwa kwa watu waiso na hatia. Mtume saw kasema ulevi na mama wa maasi.
Kwa hiyo si kila maafa yanasababishwa na pombe?Ukifa kwenye ibada ni dalili ya kifo kizuri.
Ama ukifa kwenye dhambi ni dalili ya kifo kibaya kwa maisha yako ya baadae.
Kwahiyo hata pombe nikinywa kama cfanyi mambo ya hovyo hakuna shida pombe ni halali sioHivyo vitu vi vizuri sana ndio maana kila mtu anavipenda duniani.
Ubaya wake ni namna ilivyokatazwa na namna ya kuvitumia.
hiyo ngono fanya kwa wake zako hata 4 basi na ulevi hapa duniani usionje kabisa utapata mzuri kuliko huo
Sasa wewe ubaya umeuona wapi