kiss daniel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2019
- 758
- 2,062
Amani kwenu waungwana
Baada ya wakristo wa south Sudan kuwaachia wasudan nchi yao Mambo yanaendelea kuwa Mambo
Watu wa Sudan waliwaita wasudan kusin kuwa ni makafiri na wakaitangaza Sudan kuwa nchi ya kiislamu
Bila kinyongo wala nini watu wa Sudan kusin ambao asilimia 99 ni wakristo wakajitenga wakawaachia nyumba zao, makazi yao, na maendeleo yao yote wakaanza upya
Lakin cha ajabu leo hii watu wa Sudan kusin ambao waliitwa makafiri ndo wamewapokea na kuwapa hifadhi ya ukimbizi yaan kafiri leo ndo kampa mtu Allah mtu wa dini ya khaki hifadhi
Sudan Kuna Nuka damu za ubaguzi waislam waarabu wanawauwa kila siku waislam wabantu kwa kuwapiga mabomu na majambia ambayo wanapatiwa msaada na waarabu wa Dubai
Waarabu wanawaona waislam weusi kama taka taka na wanasema hawawezi kukubali kuongozwa na weus ambao ni watumwa kwao
Tupendane ndugu zangu tuachen kubaguana