Watu 15 zaidi wakutwa na #CoronaVirus nchini Kenya, maambukizi yafikia 411

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Waliokutwa na virusi hivyo ni watu wa umri wa miaka 2 hadi 79, wamepatikana katika sampuli 1434 zilizopimwa kwa masaa 24 yaliyopita

Pia idadi ya waliokufa yafikia 21 baada ya watu wengine 4 kufariki dunia. Hadi hivi sasa Kauti 14 kati ya 47 zimethibitisha kuwa na maambukizi huku asilimia 91 ya maambukizi yakiwa ni ya Mombasa na Nairobi

Pia Wizara ya Afya imetangaza watu 150 kupona. Pia wameazimia kuweka masharti zaidi ili kuzuia maambukizi kutoka nchi jirani, kama Somalia ambayo ipo karibu na Mombasa

======

In the last 24 hours, 15 Kenyans have tested positive for the new coronavirus, pushing up the tally of confirmed cases to 411.

The new cases which range from 2-79 years of age are from 1434 samples tested across the country in the last 24 hours.

Four people have also succumbed to the coronavirus, bringing the total number of fatalities to 21.

11 of the new cases are from Mombasa with the Government set to impose tougher measures within the county to avert the spread of the virus.

“Mombasa’s trend is now worrying, and we may have to impose tougher measures to avert the spread of the virus,” CS Kagwe said.

Speaking on Friday from Afya House, Health CS Mutahi Kagwe also noted that Wajir which is very close to Somalia will be up for steeper measures to ensure that cases from the neighbouring Somalia do not seep into Kenya.

“Judging on the proximity of Wajir to Somalia which has over 500 cases, we are likely to close the border between Wajir and Somalia to ensure that the virus does not spread,” CS Kagwe said.

So far 14 counties out of the 47 in Kenya have confirmed positive cases with Nairobi and Mombasa taking the largest chunk at 91% of all the confirmed cases.

At the same time, Kenya has recorded 150 recoveries- a 36.5% recovery rate and a fatality rate of 5.1 percent from the country’s 21 deaths.

Chanzo: Citizen TV
 
  1. Tunakusihi jitahidi kuosha mikono kwa maji safi na sabuni mara kwa mara
  2. Kwa siku chache hizi jaribu kutulia nyumbani kuepusha maambukizi
 
Dah! Mombasa panazidi kuwa noma ukizingatia imekaribiana na Somalia na kupakana na Tanzania, ila tukomae tu kwenye kuchukua tahadhari pamoja tutashinda.
 
Ukiwasikia sasa wanavyotema takataka wakiona statistics za Tanzania, waezadhani kwao ni Jupiter

MK254 mnasema mnapima kila mtu wakati madereva wenu wa malori wanakutwa na Corona kila wakipimwa Uganda?

Kafrican na Kevin85ify mliokua mkishadadia ya Tanzania wakati Kenya hali bado tete, yaani kwa kifupi Kenya Corona ipo zaidi ya 20k na Tanzania 10k
 
Nilitaka kuuliza swali Hilo pia nikashindwa nielekeze kwa Nani?

Tuliwaambia wahifadhi akiba ya maneno waache kutuchekelea, sasa imekua aibu, bunge limefungwa, wamepoteza waziri, na mpaka sasa haifahamiki wabunge wangapi wameathirika, kila anayefariki vifaa vya kufukiza vinakutwa kwenye vyumba vya hoteli wanakoishi.

Hii Corona ni balaa, Watz wajifunze ubinadamu, waache kuchekelea majirani, sisi tulishakubali tatizo tunalo na tunapambana kwa kadiri ya uwezo wetu na haitatokea siku tuwachekelee.

Wao kwao wanapima watu wachache sana ukilinganisha na sisi, na bado wanatuzidi kwenye idadi ya maambukizi.
 
Vifaa vya kufukizwa vinakutwa hotelini kwa kila aliyefariki? Hivi unafeel aje kusambaza uongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiwasikia sasa wanavyotema takataka wakiona statistics za Tanzania, waezadhani kwao ni Jupiter

MK254 mnasema mnapima kila mtu wakati madereva wenu wa malori wanakutwa na Corona kila wakipimwa Uganda?

Kafrican na Kevin85ify mliokua mkishadadia ya Tanzania wakati Kenya hali bado tete, yaani kwa kifupi Kenya Corona ipo zaidi ya 20k na Tanzania 10k

Wacha tuangalia ripoti inayochapishwa kila siku ya Corona.

Tanzania
Shot 1.jpg

Kenya
Shot 2.jpg

Kenya new cases are being updated everyday. Updates from Tanzania are being reported after two days/ one week. Ukiangalia hizo screenshots, unaona Kama ni taifa gani inawapima watu wengi kuliko ingine?
 
Wacha tuangalia ripoti inayochapishwa kila siku ya Corona.

Tanzania View attachment 1436990

Kenya
View attachment 1436992
Kenya new cases are being updated everyday. Updates from Tanzania are being reported after two days/ one week. Ukiangalia hizo screenshots, unaona Kama ni taifa gani inawapima watu wengi kuliko ingine?
Eti kupima, ugonjwa ushatapakaa huu kila chocho saivi, unafikiri utawapima wote uwamalize?

Yaani saivi ni kudeal na elimu ya kujikinga na ventilators na special wards tu, hayo mambo ya kupima yalishapitwa na wakati sababu tayari kirusi kimeshasambaa

Yaani wewe huoni ajabu madereva wenu kupimwa Uganda na kukutwa na Corona?
 
Ukiwasikia sasa wanavyotema takataka wakiona statistics za Tanzania, waezadhani kwao ni Jupiter

MK254 mnasema mnapima kila mtu wakati madereva wenu wa malori wanakutwa na Corona kila wakipimwa Uganda?

Kafrican na Kevin85ify mliokua mkishadadia ya Tanzania wakati Kenya hali bado tete, yaani kwa kifupi Kenya Corona ipo zaidi ya 20k na Tanzania 10k

Wee jamaa ulishaishiwa hata kukujibu nashindwa inanibidi nikupuuze tu, kuna kipindi ulikua hata ukibeza unabeza kwa kutumia akili, siku hizi unaachia maneno bila hata kushirikisha ubongo.

Nyie hapo mnapima watu wachache na licha ya hivyo mumetuzidi kwa mambukizi, yaani ina maana huko kirusi sasa hivi kipo kwa asilimia kubwa sana zaidi ya matafa mengi Afrika, ni ile tu hamna uwezo wa kupima hata robo ya tunavyopima.

Naona kimeingia hadi bungeni na mkulu ni missing in action, keshajiendea zake kijijini, wewe na wenzako bado mnahangaika Dar huko ambako RC alisema mnapukutika kama majani.
 
Poleni sababu nasikia 21 tayari wameenda, hili ni janga la dunia nzima, nawashangaaga sana mnapoleta ligi. 🤔
 
Hamna siku hata moja itatokea tulete ligi kwenye haya mambo ya Corona maana sisi wenyewe tulishakubali tangu hapo awali kwamba tunalo, nyie tuliwaambia muweke akiba ya maneno, mlikua mnachekelea kila siku, sasa kwenu mnadondoka mpaka hata viongozi bungeni na mawaziri, sasa walala hoi kama wewe nani anawatangaza, tumeona video za maiti zikizikwa usiku.

Mbunge wa Mbeya bwana "Sugu" amechana sana na kushangaa waziri mkuu na waziri Ummy kwanini wanadanganya wakati wa mfungo, pitia video z huyu jamaa.

Very wise leader, he has seen what is to come, mimi naona tz wakianza kua sidelined na other countries just as he said

Sent using Jamii Forums mobile app
 
But you guyz r in curfew,mbona maambukizj hayishi?
 
Eti kupima, ugonjwa ushatapakaa huu kila chocho saivi, unafikiri utawapima wote uwamalize?

Yaani saivi ni kudeal na elimu ya kujikinga na ventilators na special wards tu, hayo mambo ya kupima yalishapitwa na wakati sababu tayari kirusi kimeshasambaa

Yaani wewe huoni ajabu madereva wenu kupimwa Uganda na kukutwa na Corona?

Poleni sana lakini

2386558_20200502_082226.jpg
 
Hamna siku hata moja itatokea tulete ligi kwenye haya mambo ya Corona maana sisi wenyewe tulishakubali tangu hapo awali kwamba tunalo, nyie tuliwaambia muweke akiba ya maneno, mlikua mnachekelea kila siku, sasa kwenu mnadondoka mpaka hata viongozi bungeni na mawaziri, sasa walala hoi kama wewe nani anawatangaza, tumeona video za maiti zikizikwa usiku.

Mbunge wa Mbeya bwana "Sugu" amechana sana na kushangaa waziri mkuu na waziri Ummy kwanini wanadanganya wakati wa mfungo, pitia video z huyu jamaa.

Hata huo muda sina
 
Eti kupima, ugonjwa ushatapakaa huu kila chocho saivi, unafikiri utawapima wote uwamalize?

Yaani saivi ni kudeal na elimu ya kujikinga na ventilators na special wards tu, hayo mambo ya kupima yalishapitwa na wakati sababu tayari kirusi kimeshasambaa

Yaani wewe huoni ajabu madereva wenu kupimwa Uganda na kukutwa na Corona?
😅 Unaongea na kinyume.
Siwezi bishana na wewe sababu hakuna kitu unajua kuhusu madereva wengi wanaopatikana huko ug ni wapi.

Vitu zote unasema ni za Kenya...Lakini mtu akifuatilia taarifa zinazochapishwa anapata na za Tanzania.
 
Ukiwasikia sasa wanavyotema takataka wakiona statistics za Tanzania, waezadhani kwao ni Jupiter

MK254 mnasema mnapima kila mtu wakati madereva wenu wa malori wanakutwa na Corona kila wakipimwa Uganda?

Kafrican na Kevin85ify mliokua mkishadadia ya Tanzania wakati Kenya hali bado tete, yaani kwa kifupi Kenya Corona ipo zaidi ya 20k na Tanzania 10k
Endelea kujiliwaza wakati haujui hata ni watu wangapi wamepimwa Tanzania!
 
Back
Top Bottom