Watu 15 zaidi wakutwa na #CoronaVirus nchini Kenya, maambukizi yafikia 411

Kwa takwimu za jana maambukizi yao yameshapita 490+
 
Endelea kujiliwaza wakati haujui hata ni watu wangapi wamepimwa Tanzania!

Hawa safari imewashinda, ndio wameamua kucheza mchezo wa mananasi, mapaipai na mapera ili kutafuta mlango wa kutokea, yaani wamfanikisha vipimo 652 pekee yake na humo wakapata maambukizi 480 hiyo ni kama asilimia 73%
Hali mbaya sana hiyo, check taarifa za CDC

 
Hii haiwezekani! hapa naomba iwe ni alie andika kakosea manake hii itakua wazimu mtupu sasa, hatari!
 
Hii haiwezekani! hapa naomba iwe ni alie andika kakosea manake hii itakua wazimu mtupu sasa, hatari!

Wewe hukuona hotuba ya rais wa Tz alivyokua anaongea kwa hasira, yaani sijui nini kimemkasirisha kiasi hicho....
 
Wewe hukuona hotuba ya rais wa Tz alivyokua anaongea kwa hasira, yaani siji nini kimekasirisha kiasi hicho....
Nafikiri pale mwanzo alijiona yeye ndo mjanja kuliko kila mtu AFrica alipoambia watu waende kanisani wakaombe, alafu sahii reality inamchapa kumbe yeye ndo alikua miongoni mwa wajinga.. hata kama ni wewe ungekasirika, haezi kuabishwa na korona kiasi hicho hadharani mbele ya nchi nzima! lazima utafute njia ya kukwepa hio aibu kubwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…