Watu 16 wameuawa, 400 wajeruhiwa katika maandamano ya tarehe 25 Juni yaliyofanyika kote nchini

Watu 16 wameuawa, 400 wajeruhiwa katika maandamano ya tarehe 25 Juni yaliyofanyika kote nchini

Haya ni Mawazo ya kibibfsi sana. Hawa genZ wanachotaka ni haki itwale ktk kila ngazi ya uongozi. In short wako ktk vita ya ukombozi
 
kama kua hai ni kuitwa zuzu basi acha wafurahie uzuzu wao
Wao wana protest haki, viongozi wanaleta ukandamizaji,

Yanaanzaga hivyo hivyo mdogo mdogo mwisho yanakuwa ghasia.

Unakumbuka tukio lile la Tusinia yule kijana aliyejipiga kibiriti halafu ikawaje?

Unakumbuka vita ya kwanza ya dunia, chanzo kabisa kilianza kwa nani? Ni dogo wa miaka 19 tu alianzisha vurumai mpaka Tanganyika huku tukaingia vitani
 
Maandamano ni haki lakini uvunjaji wa sheria utawacost sana Wakenya,mpaka akili iwakae sawa mtakuwa na makaburi mengi sana ya mashujaa.
So ndicho mnachotaka kitokee Tanzania?

Uasi, kusitawalike, kukinukisha - domokaya doesn’t carw hata watu wafe, ilimradi abaki
 
Wao wana protest haki, viongozi wanaleta ukandamizaji,

Yanaanzaga hivyo hivyo mdogo mdogo mwisho yanakuwa ghasia.

Unakumbuka tukio lile la Tusinia yule kijana aliyejipiga kibiriti halafu ikawaje?

Unakumbuka vita ya kwanza ya dunia, chanzo kabisa kilianza kwa nani? Ni dogo wa miaka 19 tu alianzisha vurumai mpaka Tanganyika huku tukaingia vitani
Naomba ukashiriki maandamano ya Kenya mkuu

Halafu uje utusimulie
 
Kama kina Mkwawa na majeshi yao wasingeli weka uhai wao rehani bado tungelikuwa chini ya mkoloni mweupe. Ila sasa chini ya mkoloni mweusi mnaleta ngonjera za makaburi,huu ni upimbi.
Tangulia front line tukusifu kama mkwawa
 
Maandamano ni haki lakini uvunjaji wa sheria utawacost sana Wakenya,mpaka akili iwakae sawa mtakuwa na makaburi mengi sana ya mashujaa.
Nyie endeleeni na uwoga wenu tuu mmeshakubali kuibiwa kura, kutekwa , kubambikiwa kesi, kuuliwa na kuibiwa masrimali za nchi
 
Hao Gen Z nao wanachofanya sijui kama wanakielewa.
Sometimes maandamano ya namna hiyo sio soln ya kila jambo.

Ona wanavyokufa kama kuku wenye kideri, ni vizuir basi watafute mbinu nyingine, hii ya maandamano pekee naona sio sahihi.
Jinsi walivyo na usongo wangepata mtu wa kuwapa silaha na mafunzo wangekuwa hatari kuliko kundi la m23
 
Back
Top Bottom