Watu 193 wawekwa Karantini Kagera kuchunguzwa kama wana Ugonjwa wa Marburg

Watu 193 wakiwamo watumishi wa afya waliochangamana na wagonjwa wa ugonjwa wa Marburg katika Mkoa wa Kagera wamewekwa karantini kwa ajili ya kufatiliwa maendeleo yao ya kiafya.

Akizungumza na waandishi wa habari juu ya jitihada zinazoendelea kufanywa na serikali kudhibiti ugonjwa huo, Mganga Mkuu wa serikali hapa nchini Prof. Tumaini Nagu amesema kuwa wanaendelea kufuatilia watu waliochangamana na wagonjwa hao na kwamba kati ya watu hao ambao wamepatikana na kuwekwa karantini, 89 ni watumishi wa afya na 104 ni kutoka kwenye jamii.

Machi 16,2023, Serikali ilitangaza kuzuka kwa ugonjwa huo katika kata za Maruku na Kanyangereko katika halmashauri ya wilaya ya Bukoba, ambao mpaka sasa umesababisha vifo vya watu watano.

Dalili za ugonjwa huo ni homa kali, kuumwa kichwa, maumivu ya misuri, mwili kuishiwa nguvu, kuharisha, kutapika na kutokwa na damu sehemu za wazi za mwili, hivyo wananchi wametakiwa pindi watakapoona mtu mwenye dalili za namna hiyo wawahi katika vituo vya kutolea huduma za afya.
Chanzo: EA Radio
Tafadhali tafadhali narudia tena tafadhali, hii habari ni yakweli ila kama habari bado hujaijua inamaanisha nini na kama hujui ni ya matokeo chanya au lah, narudia tena tafadhali usitoe maoni ya juu ya habari hiyo ni bora ukauliza ukaelezewa. Kwasababu actually hiyo habari ni yamafanikio ila kukuelezea ndio nahitaji niandike ukurasa mzima ndio uelewe. Nawaombeni tena, tafadhali msifanye kutoa taarifa bila kuielewa.
 
Halafu nikushangaze mkuu, mimi nipo Bukoba[emoji23][emoji23][emoji23]

Mnapokiuka Ile misingi ya chini kabisa ya anonymity inashawishi kuwakagua japo kidogo.

Ama?

Screenshot_20230323-214352.jpg

Miaka 6 ya kazi posts 830 kama mia kidogo za NHIF. Zinaitwaga ID za msaada hizi.

Kwani mnajaribu kutega kunguru kwa Maharage makavu? 🤣🤣
 
Watu 193 wakiwamo watumishi wa afya waliochangamana na wagonjwa wa ugonjwa wa Marburg katika Mkoa wa Kagera wamewekwa karantini kwa ajili ya kufatiliwa maendeleo yao ya kiafya.

Akizungumza na waandishi wa habari juu ya jitihada zinazoendelea kufanywa na serikali kudhibiti ugonjwa huo, Mganga Mkuu wa serikali hapa nchini Prof. Tumaini Nagu amesema kuwa wanaendelea kufuatilia watu waliochangamana na wagonjwa hao na kwamba kati ya watu hao ambao wamepatikana na kuwekwa karantini, 89 ni watumishi wa afya na 104 ni kutoka kwenye jamii.

Machi 16,2023, Serikali ilitangaza kuzuka kwa ugonjwa huo katika kata za Maruku na Kanyangereko katika halmashauri ya wilaya ya Bukoba, ambao mpaka sasa umesababisha vifo vya watu watano.

Dalili za ugonjwa huo ni homa kali, kuumwa kichwa, maumivu ya misuri, mwili kuishiwa nguvu, kuharisha, kutapika na kutokwa na damu sehemu za wazi za mwili, hivyo wananchi wametakiwa pindi watakapoona mtu mwenye dalili za namna hiyo wawahi katika vituo vya kutolea huduma za afya.
Chanzo: EA Radio
Kuielewa hii habari, uwe na elimu juu ya infectious diseases na preventive measures kipindi ambacho mlipuko ukitokea. Pili, lazima ujue method inaitwa contact tracing method katika mojawapo ya mbinu ya kuzuia epidemic infectious disease, hapo ndio utaelewa hao watu 193 wanamaanisha nini. Tafadhali, sijui labda kwenye radio wameelezaje ila kwenye taarifa ya habari wameeleza vizuri. Tatu, hao sio wagonjwa wa marburg viral disease bali hao ni suspected case ambao walipatikana kwanjia ya contact tracing method. Maana yake, kwakila mgonjwa wa marburg walitrace na kutafuta kila mtu Aliekuwa na contact nahao wagonjwa 8 kuanzia ndugu hadi rafiki, kwakila mtu aliokuwa contact nao either directly au indirectly hapa hadi watumishi wa afya waliowahudumia hao wagonjwa, mabodaboda waliowasafiriaha hao wagonjwa, watu waliosifiri nao either kwenye basi au gari na kwahao pia wakatafutwa waliokuwa contact na hao group la pili mpaka watu wa mwisho kabisa ambao direct au indirectly walikutana na watu waliokutana na hao wagonjwa, ndugu au marafiki wa wagonjwa. Na mwisho wakapata 193 people. Wote hao walianza kufuatiliwa zaidi ya wiki na kwahao wote uliowaona hapo hakuna hata mmoja mwenye dalili zahuo ugonjwa for not less than 5 days sasa. Ila hawawezi kuwatoa maana incubation period ya marburg virus ni 21days. Wakifika huo muda bila dalili yeyote ile ujue hakuna hata mmoja aliyeathirika na huo ugonjwa. Pia idadi ya wagonjwa imebaki ileile nane, watano wakiwa wamekwishafariki kama hapo awali ila watatu wanaendelea vizuri tu nahuwezi amini kuwa mmoja alikuwa figo zimeshafeli na yupo kwenye dialysis. Mpaka kufikia hapo inamaanisha na wametangaza kwenye taarifa ya habari, ugonjwa umeshakuwa contained. Ila kwamkoa kuitwa marburg free kabisa nimpaka siku 21 ziishe bila kuibuka kesi yeyote mpya ya marburg virus disease. Zote hizi ni stage za kucombat na kucontain an epidemic. Tafadhari, tafadhari, kama habari hujaielewa nivyema ukaitoa kwakuuliza bila kuweka ushabiki maana hili ni janga nasio utani. Taarifa yeyote ya taharuki au kuchochea taharuki itarudisha jitihada katika stage ya kwanza kabisa. Tafadhali tutumie hekima!
 
Mnapokiuka Ile misingi ya chini kabisa ya anonymity inashawishi kuwakagua japo kidogo.

Ama?

View attachment 2563144

Miaka 6 ya kazi posts 830 kama mia kidogo za NHIF. Zinaitwaga ID za msaada hizi.

Kwani mnajaribu kutega kunguru kwa Maharage makavu? [emoji1787][emoji1787]
Braza[emoji23][emoji23][emoji23] unashida na mimi [emoji23][emoji23][emoji23]. Mimi sihusiki na NHIF boss.
 
Wapi nimesema unahusika na NHIF hadi nikawe na shida nawe ndugu?
Basi yameisha braza😂😂😂 ila tuache kufuatiliana sio kitu chema. Hadi account yangu, duh😂😂😂
 
Kuielewa hii habari, uwe na elimu juu ya infectious diseases na preventive measures kipindi ambacho mlipuko ukitokea. Pili, lazima ujue method inaitwa contact tracing method katika mojawapo ya mbinu ya kuzuia epidemic infectious disease, hapo ndio utaelewa hao watu 193 wanamaanisha nini. Tafadhali, sijui labda kwenye radio wameelezaje ila kwenye taarifa ya habari wameeleza vizuri. Tatu, hao sio wagonjwa wa marburg viral disease bali hao ni suspected case ambao walipatikana kwanjia ya contact tracing method. Maana yake, kwakila mgonjwa wa marburg walitrace na kutafuta kila mtu Aliekuwa na contact nahao wagonjwa 8 kuanzia ndugu hadi rafiki, kwakila mtu aliokuwa contact nao either directly au indirectly hapa hadi watumishi wa afya waliowahudumia hao wagonjwa, mabodaboda waliowasafiriaha hao wagonjwa, watu waliosifiri nao either kwenye basi au gari na kwahao pia wakatafutwa waliokuwa contact na hao group la pili mpaka watu wa mwisho kabisa ambao direct au indirectly walikutana na watu waliokutana na hao wagonjwa, ndugu au marafiki wa wagonjwa. Na mwisho wakapata 193 people. Wote hao walianza kufuatiliwa zaidi ya wiki na kwahao wote uliowaona hapo hakuna hata mmoja mwenye dalili zahuo ugonjwa for not less than 5 days sasa. Ila hawawezi kuwatoa maana incubation period ya marburg virus ni 21days. Wakifika huo muda bila dalili yeyote ile ujue hakuna hata mmoja aliyeathirika na huo ugonjwa. Pia idadi ya wagonjwa imebaki ileile nane, watano wakiwa wamekwishafariki kama hapo awali ila watatu wanaendelea vizuri tu nahuwezi amini kuwa mmoja alikuwa figo zimeshafeli na yupo kwenye dialysis. Mpaka kufikia hapo inamaanisha na wametangaza kwenye taarifa ya habari, ugonjwa umeshakuwa contained. Ila kwamkoa kuitwa marburg free kabisa nimpaka siku 21 ziishe bila kuibuka kesi yeyote mpya ya marburg virus disease. Zote hizi ni stage za kucombat na kucontain an epidemic. Tafadhari, tafadhari, kama habari hujaielewa nivyema ukaitoa kwakuuliza bila kuweka ushabiki maana hili ni janga nasio utani. Taarifa yeyote ya taharuki au kuchochea taharuki itarudisha jitihada katika stage ya kwanza kabisa. Tafadhali tutumie hekima!
Maelezo yamejitosheleza... asante sana
Kesho nlikuwa na safari ya kanda ya ziwa kidogo niahirishe ila maelezo yako yamenipatia amani
 
Huyu maza hawezi kutufukiza manyungu mpaka sasa wizara imechukua hatua madhubuti kabisa, hongera zao aisee
 
Maelezo yamejitosheleza... asante sana
Kesho nlikuwa na safari ya kanda ya ziwa kidogo niahirishe ila maelezo yako yamenipatia amani
Usafiri kwaamani sista, ila tu bado kujikinga lazima uendelee mpaka pale watakapotangaza kuwa Kagera ipo Marburg free. Tahadhari ni muhimu.
 
Marburg na Ebola ni mtu na binamu. Shida watanzania ni mabingwa wa kupuuza mambo, vile tuliideal na COVID kwa kunywa juice ya karoti na nyungu. This Marburg is deadly.

Marburg = Mabagi = Mabangi hamna mchezo hapa.
Sio kweli mkuu...naomba Kasome medicine books kuhusu viral diseases ujielimishe zaidi.... Marburg ni Marburg, na Kuna jamii zake,. Ebola ni Ebola na Kuna jamii zake mfano (Zaire bundibugyo, Tai, Sudan nk)
 
hii serikali ya ajabu, najua hawawezi sema kuwa ni ebola, sema ebola kwani kuna nini? kuogopa taharuki? sema watu wachukue tahadhali maana marbug huwa ipo sehemu za mwaloni upande wa uganda wanakochoma/kukausha samaki. mbona Uganda wanataja wazi?

Ebola & Marburg​

Credit: NIAID
Ebola is a serious and often fatal illness caused by a virus. Several viruses can cause Ebola disease in humans, including Ebola virus and Sudan virus. Symptoms of Ebola include fever, headache, muscle pain, weakness, fatigue, diarrhea, vomiting, stomach pain, and severe bleeding and bruising.

More broadly, Ebola virus and Sudan virus are part of the Filoviridae family, which also includes the viruses which cause Marburg disease. There are two known viruses which can cause Marburg in humans and nonhuman primates.

Like Ebola, Marburg symptoms can include fever, muscle aches, weakness, diarrhea and vomiting, and severe bleeding. In severe cases, Marburg can be fatal.

Cases of Ebola and Marburg virus disease are rare, but outbreaks occasionally arise in Africa, where the viruses circulate among some populations of animals, such as bats. Humans can acquire ebolaviruses and Marburg viruses from infected animals, or from other people. When spreading between humans, both Ebola and Marburg are transmitted through direct contact with the bodily fluids (such as blood or mucous) of an infected person.

Sasa mtaalam unataka waseme ni ebola wkt si ebola? Kama reference yako ni uganda man uko nyuma sana.
Unless ww ni mtaalam wa afya uko kwa ground na umepima ukaona
 
No ,not at all , my point is hawa hawaaminki! Inaweza ikawa ni ebola lkn kwa umagufuli wakasingizia kitu ingine ambayo inaendana na hiyo. Watu wanajua ebola, ukisema unaleta taharuki, hofu as Magufuli put it those days. Nina wasiwasi na hawa, thsat is my worry!! Uko sahihi! lauhimu nimewaambia wanaonihusu ambao wako Bukoba wachukue tahadhali kama vile ni ebola, they will be on the safe side.... Marbug hawaijui hawajawahi isikia hivyo wata relax!
 
ZEE NGESE SANA WEWE.

HAYA FURAHI SASA TANZANIA TUMEPATA EBOLA. FURAHI, FANYA TAFRIJA.

BURUKENGE WAHED!
 
utakua mabangi sio mabagi nyie endeleeni kutunga majina ambayo hayapo hata kwenye kamusi …
 
Tafadhali tafadhali narudia tena tafadhali, hii habari ni yakweli ila kama habari bado hujaijua inamaanisha nini na kama hujui ni ya matokeo chanya au lah, narudia tena tafadhali usitoe maoni ya juu ya habari hiyo ni bora ukauliza ukaelezewa. Kwasababu actually hiyo habari ni yamafanikio ila kukuelezea ndio nahitaji niandike ukurasa mzima ndio uelewe. Nawaombeni tena, tafadhali msifanye kutoa taarifa bila kuielewa.
Unatoa warning kama nani,wewe kama una unalolijua andika hapa tusome tuelewe unataka mpaka tukuulize kwa nini unaona ni muhimu uulizwe kwanza?
 
Tafadhali tafadhali narudia tena tafadhali, hii habari ni yakweli ila kama habari bado hujaijua inamaanisha nini na kama hujui ni ya matokeo chanya au lah, narudia tena tafadhali usitoe maoni ya juu ya habari hiyo ni bora ukauliza ukaelezewa. Kwasababu actually hiyo habari ni yamafanikio ila kukuelezea ndio nahitaji niandike ukurasa mzima ndio uelewe. Nawaombeni tena, tafadhali msifanye kutoa taarifa bila kuielewa.
Wewe kama nani?
 
Back
Top Bottom