Watu 2 wahukumiwa kwa hatia ya kusambaza Huduma ya Internet bila kibali na kuisababishia hasara TCRA

Watu 2 wahukumiwa kwa hatia ya kusambaza Huduma ya Internet bila kibali na kuisababishia hasara TCRA

Nimetoka draw/ kapa hapa... ila nilichoona ni kwamba jamaa wamelipa mia mbili kati ya mia mbili stina kitu plus faini!

Navuta picha ingekuwa ndo mlala hoi kama mimi sijui ingekuwaje duh!
 
Kuna watu wameelezea tukio la wizi lililotokea, ila wengi wetu hatujaelewa kabisa kabisa, siyo kosa, kosa ni uelewa, kufanya hotspot au wifi siyo kosa, ila kutumia vyombo vya kusambaza na kuuza huduma ya internet kimakosa ni kosa, hawa walikuwa na vyombo maalum vya kufanya hivyo bila kibali wala ruksa, tutofautishe lao la kusambaza huduma hiyo kwa kutumia vyombo kimakosa bila vibali na swala la hotspot na wifi...
 
Unataka kupiga maboya huko PM
Siifanyi mimi na kama ningeifanya ningetangaza
Tatizo unawaza upumbavu na wiziwizi kisa we uko hvyo
Na ovious ni kitu real maana kampuni kama voda ni world wide na vifurushi vinatofautiana nchi na nchi
 
Inshort ni kutumia VPN ambapo una install program kwenye cm yko afu unapewa code unatumia internet bure bila TCRA kujua na kuingiza chochote mostly inafanyika kwa voda na huruhusiwi kuunga bundle la internet lolote katika iko kipindi
Asante mkuu kwa ufafanuzi mzuri.

Ila hizi VPN ni kama virusi kwenye suala zima la mtandao wa internet. Yaani hazina dawa. Maana zipo tu kila mwaka ukizitafuta unazipata na unapata internet ya bure.

Huwaga najiuliza inakuwaje mitandao ya simu inashindwa kuzidhibiti? Jibu naambiwa ni kwamba protokali zinawabana. Kuna matundu lazima wayaache wazi ndo mfumo wa internet ufanye kazi. Kwa hiyo watundu wanayasaka hayo matundu mpaka wanayapata na wenyewe wanapenya humohumo kula vya bure.

Inafurahisha sana kwa kweli.
 
Back
Top Bottom