#COVID19 Watu 29 wameshakufa kwa wimbi la 3 la Coronavirus. Wagonjwa wafikia 858 Tanzania nzima

#COVID19 Watu 29 wameshakufa kwa wimbi la 3 la Coronavirus. Wagonjwa wafikia 858 Tanzania nzima

Kipindi cha huyu mwamba Corona ilikimbia. Kuna mlango inaingilia hii Covid 19. Halafu kinachoshangaza ugonjwa unashabikiwa sana. Malaria inaua watu 6 kila dakika, acha idadi ya wagonjwa, haina ushabiki kama Uviko. Wazungu wametupata.
Nina mkumbuka sana huyu mwamba 🥲🥲
 
ni ngumu sana covid kua tishio kiasi icho, ukiachana na wale wenye matatizo ya afya kwa ujumla huenda covid ingekua treated kama mafua japokua kwa mbele kuna vifo vya mafua
Kigogo 214 qluokoa wtu wengi
 
Kipindi cha huyu mwamba Corona ilikimbia. Kuna mlango inaingilia hii Covid 19. Halafu kinachoshangaza ugonjwa unashabikiwa sana. Malaria inaua watu 6 kila dakika, acha idadi ya wagonjwa, haina ushabiki kama Uviko. Wazungu wametupata.
Una kiwango gani cha elimu
 
Ameshasahau kwamba naye alihusika katika kuchochea watu waone C-19 ni kama mafua tu, full kuzindua seasons za nyungu na kunywa hadharani zile 'togwa' za NiMR
Togwa za NiMR? Kua na heshima japo kidogo kamanda
 
Waziri wa Afya, Dk Dorothy Gwajima amesema hadi sasa jumla ya watu 29 wamefariki kutokana na wimbi la tatu la Covid-19 huku jana pekee kukiwa na wagonjwa wapya 176.

Idadi hiyo inafikisha Tanzania kuwa na jumla ya wagonjwa 858 wa Covid-19.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Dk Dorothy amesema takwimu hizo ni alizopata jana hivyo upo uwezekano vifo zaidi vikawa vimetokea.

Waziri ameeleza kuwa licha ya Serikali kuendelea kusisitiza watu kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa huo bado wapo wanaozembea.

“Itoshe kuwaambia kuwa ugonjwa upo na watu wanakufa, tusingependa kupeana hizi taarifa za vifo tuchukue tahadhari, kila mmoja wetu ajiulize unapofanya mambo kinyume na kuchukuta tahadhari unalenga kumtesa nani,” amesema Dk Gwajima.

Waziri huyo pia alitupa lawama kwa viongozi wa Serikali ambao hawashiriki kwenye vita vya kupambana na ugonjwa huo.

“Nawakumbusha watu hawa wasiotaka kwenda mstari wa mbele wasichukulie mzaha Uviko 19, ugonjwa huu upo tusijiachie kwa sababu wimbi la kwanza na la pili lilipita,”.

Mwananchi
BADO ISIWE NDIO PAPARA YA KUTOA CHANJO.
WATAALAMU WETU KWA UAMINIFU
WATUSAIDIE KUJUA CONTENT YA CHANJO.
DUNIA BADO HAIENDI KASI NA CHANJO HII.
USALAMA WAKE NA NINI KITATIKEA MBELE HAVIJATHIBITISHWA.
 
Vifo vya c-19 ni zaidi pengine mara 2 or 3 digit figure ya hao 29. Tunaona mitaani wanaondoka kwa matatizo ya kupumua
Madaktari wanazitaka Fedha za WHO na Wafadhili mbalimbali tutaaminishwa kwa namna yoyote ili Ulimwengu ujue kwamba tatizo lipo na fedha ziletweee vijana wapige Perdiem za Safari, Warsha, Makongamano na nk.
Yale yale ya Dr. Mwele Malecella kutangazia ulimwengu kwamba gonjwa ZIKA uppo Tanzania kuumbe ni mbinu chaffu. UVIKO ipo Tanzania lkn siyo kwa matashtiti wanayokuwa nayo watoa taarifa. Wenzetu Uganda wanazika hadi Maiti hewa kuongeza ukubwa wa Tatizo
 
Waziri wa Afya, Dk Dorothy Gwajima amesema hadi sasa jumla ya watu 29 wamefariki kutokana na wimbi la tatu la Covid-19 huku jana pekee kukiwa na wagonjwa wapya 176.

Idadi hiyo inafikisha Tanzania kuwa na jumla ya wagonjwa 858 wa Covid-19.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Dk Dorothy amesema takwimu hizo ni alizopata jana hivyo upo uwezekano vifo zaidi vikawa vimetokea.

Waziri ameeleza kuwa licha ya Serikali kuendelea kusisitiza watu kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa huo bado wapo wanaozembea.

“Itoshe kuwaambia kuwa ugonjwa upo na watu wanakufa, tusingependa kupeana hizi taarifa za vifo tuchukue tahadhari, kila mmoja wetu ajiulize unapofanya mambo kinyume na kuchukuta tahadhari unalenga kumtesa nani,” amesema Dk Gwajima.

Waziri huyo pia alitupa lawama kwa viongozi wa Serikali ambao hawashiriki kwenye vita vya kupambana na ugonjwa huo.

“Nawakumbusha watu hawa wasiotaka kwenda mstari wa mbele wasichukulie mzaha Uviko 19, ugonjwa huu upo tusijiachie kwa sababu wimbi la kwanza na la pili lilipita,”.

Mwananchi
Ni upumbavu mkubwa kuamini eti tuna wagonjwa 858 tu COVID-19 toka mwaka jana.
 
Kweli shetani ni mbaya sana. Kaleta Corona kuleta taharuki nafsini mwa watu ili wamsahau Mungu muweza wa yote ili wakazanie kiponyacho Mwili yaan chanjo, kuliko kiponyacho roho. Duh shetani mbaya na kawanasa wengi.

Hiyo inayoitwa Corona inaanzia rohoni na nafsini mwa mtu ndipo matokeo yanakuja mwilini sasa na Bahat mbaya wengi wananitahidi kupambana na hali ya nje kuliko ya ndani.

Bila kujua adui unaepambana nae huwezi kujua namna ya kumshinda zaidi atakushinda. Mimi na nyumba yangu tutamtumainia Mungu kama ni kuishi, tutaishi kwa Kristo na kama ni kufa tutakufa kwa Kristo. Hatuna hofu
 
Waziri wa Afya, Dk Dorothy Gwajima amesema hadi sasa jumla ya watu 29 wamefariki kutokana na wimbi la tatu la Covid-19 huku jana pekee kukiwa na wagonjwa wapya 176.

Idadi hiyo inafikisha Tanzania kuwa na jumla ya wagonjwa 858 wa Covid-19.

Akizungumza na waandishi wa habari leo Dk Dorothy amesema takwimu hizo ni alizopata jana hivyo upo uwezekano vifo zaidi vikawa vimetokea.

Waziri ameeleza kuwa licha ya Serikali kuendelea kusisitiza watu kuchukua tahadhari dhidi ya ugonjwa huo bado wapo wanaozembea.

“Itoshe kuwaambia kuwa ugonjwa upo na watu wanakufa, tusingependa kupeana hizi taarifa za vifo tuchukue tahadhari, kila mmoja wetu ajiulize unapofanya mambo kinyume na kuchukuta tahadhari unalenga kumtesa nani,” amesema Dk Gwajima.

Waziri huyo pia alitupa lawama kwa viongozi wa Serikali ambao hawashiriki kwenye vita vya kupambana na ugonjwa huo.

“Nawakumbusha watu hawa wasiotaka kwenda mstari wa mbele wasichukulie mzaha Uviko 19, ugonjwa huu upo tusijiachie kwa sababu wimbi la kwanza na la pili lilipita,”.

Mwananchi
Tulitahadharisha lakini mhusika hakusikia! Corona ilikuwa imefungiwa nje ya Tanzania! Mlango ulikuwa umefungwa! Kuna pepo nyuma ya corona, pepo hilo halikupatà nafasi Tanzania baada ya nchi kuamua kumtanguliza Mungu kwa maombi aliyoitisha mkuu wa nchi wa wakati huo na Mungu akatusikia pepo wa corona akashindwa na tukamshukuru Mungu. Pepo wa corona akawa nje ya Tanzania na maisha yakaendelea kama kawaida utadhani hakuna corona duniani. Lakini ukweli ni kwamba corona ipo na siku zote pepo la corona lilikuwa linaomba na kubembeleza lifunguliwe mlango ili liingie tena Tanzania. Kuna aliyepewa madaraka na dhamana ya kufunga au kufungua mlango ili corona iingie. Huyo si mwingine bali ni mkuu wa nchi. Mkuu wa nchi akiendelea kumshukuru Mungu kwa kuiponya nchi yetu na KUKIRI kuwa Tanzania hakuna corona, ukiri huo ni kuendelea kuifungia corona nje ya Tanzania. Lakini mkuu wa nchi akikiri kuwa kuna corona Tanzania UKIRI KUWA KUNA CORONA, ni kulifungulia pepo la corona liingie tena Tanzanià na corona kupata nguvu ya kuwashambulia watanzania. Ndiyo maana shetani aliitumia kamati ya corona kuja na mapendekezo na pendekezo la kwanza ni kuwa Tanzania itamke/itangaze/ikiri rasmi kuwa kuna coro a Tanzania!! Kwa muda hilo pendekezo halikutekelezwa na Tanzania tukaendelea kuwa salama! Adui akaanza kuleta shinikizo kubwa kupitia ndani na nje ya nchi kuwa Tanzania lazima itangaze kuwa ina corona, eti hilo ndilo sharti kubwa la kupewa "msaada" wa corona, kumbe adui anataka afunguliwe mlango!! Hatimaye mkuu wa nçhi akanyoosha mikono na kuitangazia dunia kuwa kuna corona Tanzania!! Kwa kufanya hivyo alidhàni ndiyo anafungua mlango wa Tanzania "kusaidiwa" kwenye vita ya corona kumbe kinyume chake alikuwa anafungua mlango kwa mikono yake mwenyewe ili pepo la corona liipe nguvu corona kuishambulia Tanzania!! Tangu siku aliyotamka hivyo kuzimu na majeshi yake yote walishangilia sana! Lilibaki ni suala la muda tu watanzania kuanza kuugulia vilio vingi vya corona! Mungu aliifanya Tanzania kuwa kisiwa kwa habari ya corona kwa kuwa tulimtanguliza Mungu kwenye vita hii. Lakini mkuu wa nchi tulimsikia wote akikataa na kusema Tanzania siyo kisiwa!! Wakati mataifa yote yana lockdown kwa viwango tofauti na shule zote zikiwa zimefungwa sisi watanzania tulifungua shule na vyuo na hakukuwa na tatizo lolote! Kwa hilo tu utawezaje kusema Tanzania siyo kisiwa? Tumeukataa ulinzi wa Mungu kama Taifa, tukatamani tufanane na mataifa mengine, na tujiandae kama Taifa kuingia kwenye mateso wanayopitia mataifa mengine!! Ole wa nchi yetu!! Mataifa mengine yalituonea wivu sana, walipotuona tuko salama sana kinyume cha matazamio yao!! Na kwa sasa tumewapa nafasi ya kumkufuru Mungu wetu kuwa ameshindwa kutulinda, kumbe sisi wenyewe kupitia mkuu wetu tumeifungulia mlango corona! Nilisema, tukiifungjlia mlango corona, chanjo wala barakoa wala lockdown hazitatuokoa kama ambavyo hazikuwaokoa hao wanaozitengeneza na hadi leo maabukizi mapya mengi na vifo vingi vipo huko marekani, uingereza nk.
Je tufanyeje sasa? Je hakuna tumaini tena kwa Tanzania? La hasha tumaini bado lipo! Yule mwenye mwenye dhamana ya mlango akubali kutubu na kuamua kuufunga mlango huo tena!! Ni rahisi! Mkuu wa nchi yetu aitishe maombi ya kitaifa kwa Mungu kama alivyofanya JPM ili tutubu na kuomba kwake. Atatusamehe na tutamshukuru na kisha AKIRI UPONYAJI WAKE, na kuitangazia dunia tena kuwa Mungu AMETUPONYA na corona, na corona haipo tena!! Akifanya hivyo ni suala la muda tu kila mmoja atashangaa corona imetowekea wapi? Vita vya rohoni viko hivyo, kwa asiyeamini ni upuuzi, lakini hakuna atakayekwepa kuona matokeo ya uponyaji huo! Vjnginevyo kila mtu atapigana vita vyake na hatutakuwa na ushindi wa kitaifa japo kutakuwa na ushindi wa mtu mmoja mmoja kutegemea na imani yake lakini kama Taifa, tutakuwa tumeshindwa na wengi wataangamia! Kazi kwako mwenye dhamana ya mlango wa nchi yetu, jitie nguvu tunakuombea. Kwa upande wangu binafsi nitaendelea kuikataa corona kuwa haiko kwangu wala kwa nyumba yangu na familia yangu yote hakuna cha corona wala baba yake na corona kwa Jina la Yesu Kristo. Na hivyo visaidizi vyao na kinga yao haina kazi wala nafasi kwangu!! Watumie walioikumbatia corona!
 
Mkuu huu ugonjwa upo, mtaani kwangu nimezika wazee kama wa 3...
Mbona wewe haujazikwa? Kwani kabla ya corona wazee walikuwa hawazikwi? Kwani kufa ni ajabu? Msisingizie corona kwa kila kifo!! Kwa nini leo kila mtu akifa ni corona!! Kwani kupumulia kwenye mashine kumeanza baada ya corona? Ina maana kabla ya corona mitungi ya oxygen ilikuwa haitumiwi kabisa na wagonjwa hospitalini? Kwa nini leo kila anayepumulia kwenye mashine wanasema ni corona?? Huu ni ujinga wa kiwango cha juu!!
 
. Kipindi cha huyu mwamba Corona ilikimbia. Kuna mlango inaingilia hii Covid 19. Halafu kinachoshangaza ugonjwa unashabikiwa sana. Malaria inaua watu 6 kila dakika, acha idadi ya wagonjwa, haina ushabiki kama Uviko. Wazungu wametupata.
Umesema kweli! Hata huko marekani covid 19 siyo miongoni mwa magonjwa kumi yanayoua zaidi huko marekani. Wazungu wanaishabikia corona kwa misingi ya kibiashara! Si unaona, tangh Tony Blair aje nchini na kupigia debe taasisi yake inayoshughulika na na upimaji na chanjo ya corona matamko ya corona na takwimu zake yamechangamka sana! Inauma sana!
 
Data za uongo hizo. Kijijini kwa mke wangu huko Moshi ambao wameshazikwa ni wengi. Mfano:
1. Mke na mume
2. Baba na mwanaye
3. Jirani 2
4. Kaka zake wa ukoo 2
5. Jana amezikwa ndugu Kwa shangazi yake
6. Kesho anazikwa mkwe alikoolewa mdogo wake
Hao ni 10 wa karibu. Vijiji vingine nako wanakufa na wengine kutoka mijini kuja kuzikwa.
Hivi maiti za say KCMC zilizokufa na Korona hizo mnaziweka wapi? Bado say Mount Meru.
Tuseme ukweli ili watu wajikinge hasa mikoa ambayo imeathirika Sana.
Mwongo wewe kwani kabla ya corona watu walikuwa hawafi? Kufa ni kawaida! Kwa leo kila kifo mnasingizia corona?
 
Back
Top Bottom