Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 9,662
- 8,023
Takriban watu watatu wamefariki na wengine wawili kulazwa hospitalini baada ya mlipuko na moto kutokea kwenye kiwanda cha kemikali nchini Iran
Ajali hiyo ilitokea majira ya saa 5 asubuhi kwa saa za Iran (07:30 GMT) katika sehemu ya kuhifadhi methanoli kwenye Kiwanda cha Kaveh Petrochemical kilichopo Bandar Deyr, jimboni Bushehr, kwa mujibu wa shirika la habari la serikali ya Iran, IRNA.
Kiongozi wa usimamizi wa maafa mkoani humo, Kourosh Dehghani, alisema moto ulianza baada ya welding kuwa inafanyika kwenye boti na kusababisha mlipuko. Msemaji huyo aliongeza kuwa moto umedhibitiwa na hakuna majeruhi zaidi wanaotarajiwa.
Kiwanda hicho, kinachozalisha hadi tani milioni 2.3 za methanoli kwa mwaka, ni moja ya wazalishaji wakuu wa kemikali hiyo inayoweza kushika moto kwa urahisi katika eneo la Ghuba.
=================================
A fire broke out after welding on a barge at the site ignited an explosion, Kourosh Dehghani, the provincial head of the crisis management organisation, told Iranian state television.
He said firefighters had contained the blaze and were now working to cool the site. No further casualties were expected, he added.
Footage from the blaze carried on state media showed large clouds of thick black smoke rising from the site, as firefighting units trained their hoses on the fire.
The chemical plant, situated on a 200-hectare (494-acre) site in the Gulf region, is a key producer of methanol, making up to 2.3 million tonnes of the highly flammable chemical each year, according to its website.
Source: Al Jazeera