Watu 3 wafariki na wengine 2 walazwa hospitalini baada ya moto mkubwa kuwaka katika kituo cha kuhifadhi methanoli huko nchini Iran

Echolima1

JF-Expert Member
Joined
Nov 2, 2019
Posts
9,662
Reaction score
8,023
Takriban watu watatu wamefariki na wengine wawili kulazwa hospitalini baada ya mlipuko na moto kutokea kwenye kiwanda cha kemikali nchini Iran

Ajali hiyo ilitokea majira ya saa 5 asubuhi kwa saa za Iran (07:30 GMT) katika sehemu ya kuhifadhi methanoli kwenye Kiwanda cha Kaveh Petrochemical kilichopo Bandar Deyr, jimboni Bushehr, kwa mujibu wa shirika la habari la serikali ya Iran, IRNA.

Kiongozi wa usimamizi wa maafa mkoani humo, Kourosh Dehghani, alisema moto ulianza baada ya welding kuwa inafanyika kwenye boti na kusababisha mlipuko. Msemaji huyo aliongeza kuwa moto umedhibitiwa na hakuna majeruhi zaidi wanaotarajiwa.

Kiwanda hicho, kinachozalisha hadi tani milioni 2.3 za methanoli kwa mwaka, ni moja ya wazalishaji wakuu wa kemikali hiyo inayoweza kushika moto kwa urahisi katika eneo la Ghuba.

=================================

A fire broke out after welding on a barge at the site ignited an explosion, Kourosh Dehghani, the provincial head of the crisis management organisation, told Iranian state television.

He said firefighters had contained the blaze and were now working to cool the site. No further casualties were expected, he added.

Footage from the blaze carried on state media showed large clouds of thick black smoke rising from the site, as firefighting units trained their hoses on the fire.

The chemical plant, situated on a 200-hectare (494-acre) site in the Gulf region, is a key producer of methanol, making up to 2.3 million tonnes of the highly flammable chemical each year, according to its website.

Source: Al Jazeera

Your browser is not able to display this video.
 
Nje ya Mada!!! Sawa lkn pitia BBC SWAHILI leo UISLAM UNAKUA KWA KASI KUBWA ZAID DUNIAN,,,,

na ukristo na ukrisito unapungua sana Duniani !!!

ujumbe kwako kuwa chema kinajiuza kibaya kinajitembeza tena kwa Propaganda na kuwasingizia waislam na Ugaidi kumbe Gaidi sio Muislam,,
 
. Tangu uzaliwe umefaidika nini na Uislam?? 🤔 🤔.

. Au kuletewa tende na vijora 🙂🙂
 
UPUMBAVU
 
Chombo cha HABARI cha Wazungu wenyewe kinatanabai kukuwa kwa UISLAMU !!!

asante mungu DUNIANI Pamoja na Vita zote kusingiziwa uchafu wote Ugaid wote lkn DINI ya kweli inapita kwenye mawimbi yoyote !!! AKIKA MUNGU ANANGUVU SANA.
 
Chombo cha HABARI cha Wazungu wenyewe kinatanabai kukuwa kwa UISLAMU !!!

asante mungu DUNIANI Pamoja na Vita zote kusingiziwa uchafu wote Ugaid wote lkn DINI ya kweli inapita kwenye mawimbi yoyote !!! AKIKA MUNGU ANANGUVU SANA.
UKWELI WA UISLAMU NI UPI?
 
Tatizo waislamu wakiwa wanauwa huwa wanaimba ule wimbo "Allahu...."
 
Chombo cha HABARI cha Wazungu wenyewe kinatanabai kukuwa kwa UISLAMU !!!

asante mungu DUNIANI Pamoja na Vita zote kusingiziwa uchafu wote Ugaid wote lkn DINI ya kweli inapita kwenye mawimbi yoyote !!! AKIKA MUNGU ANANGUVU SANA.
Uislamu sio ugaidi ila kila gaidi ni muislamu. NA WIMBO NI MMOJA TU WAKATI WA KUTEKELEZA UGAIDI "ALLAHU AKBAR"
 
Chombo cha HABARI cha Wazungu wenyewe kinatanabai kukuwa kwa UISLAMU !!!

asante mungu DUNIANI Pamoja na Vita zote kusingiziwa uchafu wote Ugaid wote lkn DINI ya kweli inapita kwenye mawimbi yoyote !!! AKIKA MUNGU ANANGUVU SANA.
Ni kweli kabisa Uislamu unakuwa kwa Kasi sana huko Ulaya na Marekani moja ya sababu kubwa ni kuwa Kila mwanaume ana wanawake zaidi ya watatu na wanazaliana kama nzige!!! Na hawaruhusiwi kuiacha dini hiyo na wakiamua kuiacha wanauwawa kulingana na sheria za dini hiyo.

Kingine kinachoifanya dini hiyo kuongezeka ni kuwa baada ya wimbi la wahamiaji kutoka nchi za kiarabu kwenda nchi za Ulaya na Marekani wahamiaji hao walikuwa na Nia ovu ya kulala na wanawake wa nchi hizo ili kujipatia uhalali wa uraia katika nchi hizo hivyo walifanikiwa sana kuzaliana na kuweza kuwabadirisha dini wanawake hao.

Kwa hiyo wengi wa watu hao wana dini hiyo kwa sababu wengi wanahofia kuuwawa. Maana hakuna uhuru katika dini hiyo ya kujiondoa kama ilivyo kwa wakristo.
 
Muislam ukikua Kwa Kasi wewe binafsi kinakunaifaisha Nini? Pesa ya kula itaongezeka mezani? Ada ya watoto shule itapatikana kirahisi? Maisha Yako binafsi yatabadilika?
 
Iran Kila sehemu ya nchi wamehifadhi mitungi ya sumu alafu wanataka ugomvi na myahudi.
 
MODS habari yangu hii mimi sija quote kutoka Aljazeera maana najua kituo hicho ni wapotoshaji wakubwa wa habari,

Angalia sasa habari hii imekosa hata maana maana imepotoshwa sana kuliko ilivyo kuwa. Majanga ya milipuko ya moto imekuwa mingi sana hasa kipindi hiki huko Iran. Kuna uwezekano mkubwa kuna mkono wa Israel kitu ambacho Aljazeera hawawezi kukitangaza!!!
 
Imekuwaje leo hii BBC inaaminika si huwa mnasema ni chombo cha propaganda cha nchi za magharibi? na habari zake kuhusu uislamu, palestine, arabs huwa ni uongo?
 
Rostam Aziz anaweza kuwa anaelewa chanzo, ni kwao kule.
 
Jamaaa wamechafukwa na povu!!!

Mimi nilitaka tu kuweka sawa mana kesho utasikia sijui Indonesia UISLAM unapungua sijui nchi ile unapungua!!

Muimu kufaham ukweli upo ivyo Duniani kote na si leo au jana Dini inayokuwa kuliko zote Duniani ni UISLAM tangu miaka na miaka!!

ukisikia tofaut na ivyo ujue Chai iyo

Ndio mana pia ndio Dini inayopigwa sana kwa njia mbalimbali kulipo Dini zote !!!

Mti wenye Matunda ndio upigwa Mawe!!

ikiwemo Propaganda na ikisingiziwa Ugaidi na kuchinja watu Live na uchafu mwengine kumbe yote ni project ya Mossad + CIA

Echolimai Ww unatafuta habari za Iran kuusu milipuko tu japo yule mkenya juzi kaja na kupigwa marufuku mbwa mitaani au kutembea na mbwa, !!

ww ata pancha tu unaleta mbioo!!! Lkn Pengine unachukizwa na ile milipuko Unabubujikwa na machozi pole bhana !!

kutakuwa na Gaidi la Kizayuni pembeni ya milipuko kwasasa Mazayuni ayana nguvu tena sijui Taifa teule ilikuwa Story tu !!

kwasasa Mazayuni yamegeuka na kuwa Magaid ya kutisha zaid Apo Mashariki ya kati!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…