Watu 34 wameripotiwa kupoteza maisha kufuatia shambulizi la silaha lililotekelezwa kwenye basi la abiria nchini Ethiopia

Watu 34 wameripotiwa kupoteza maisha kufuatia shambulizi la silaha lililotekelezwa kwenye basi la abiria nchini Ethiopia

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Shirika la kujitegemea la utetezi wa haki za kibinadamu nchini Ethiopia, lilitoa maelezo kupitia mtandao wa kijamii wa Twitter na kuarifu kutekelezwa kwa shambulizi la silaha kwenye basi la abiria mkoani Benishangul-Gumuz na kusababisha vifo vya watu 34.

Maelezo hayo pia yalibainisha taarifa za shambulizi hilo la kutisha lililotekelezwa kwenye basi la abiria lilipokuwa likisafiri kuelekea Chagni kutoka Wonbera hapo jana, kuwa zilipokewa kwa huzuni, na idadi ya vifo inahofiwa kuongezeka.

Mpaka kufikia sasa mtu aliyehusika na shambulizi hilo bado hajajulikana.

================

Dozens of people have been killed in "gruesome attack" in western Ethiopia, the national human rights body said. The area has seen a spate of deadly assaults on civilians along with a worsening conflict in the north.


Gunmen in western Ethiopia have killed at least 34 people in an attack on a bus, the national human rights body said Sunday.

The Ethiopian Human Rights Commission (EHRC) said the number of people killed was likely to rise after what it called a "gruesome" attack on the passenger bus in the Benishangul-Gumuz region on Saturday.

Details of the attack remained unclear in a country that has seen escalating violence in recent weeks. The EHRC also said that "there are reports of similar attacks" in three other areas, including on people "who have fled to seek shelter."

"The latest attack is a grim addition to the human cost which we bear collectively," Daniel Bekele, commission head, said in a statement.

Security crisis mounts
Fears are growing of a security vacuum in the country amid a military campaign in the northern Tigray region.

Similar attacks occurred in the same region in the past few months. An attack in October left 12 people dead and 15 were killed there in September.

"The unrelenting pace of attacks on civilians in Benishangul-Gumuz calls for higher vigilance and a more coordinated action between regional and federal security forces," Bekele said

He continued with a plea for cooperation: "We urge the federal and regional security and judicial authorities to work together, and in consultation with the local community, to redesign a regional security strategy that can put a final stop to these attacks."

Prime Minister Abiy Ahmed held neighboring Sudan responsible for training those who carried out the earlier attacks.
 
Roli modo wetu huyu

Blue Nile > mwalimu nyerere HEP
Ethiopian airlines> ATL
Flyover
SGR


Na hii tucopy au tuache?
 
Misri wameshaanza kazi.....nilijua tu huu mto utaleta matatizo
 
Najua apo ni action wanaambiwa waachie maji waarabu bana aise
 
Back
Top Bottom