100 others
JF-Expert Member
- Aug 5, 2017
- 4,766
- 16,191
Matumizi mabaya ya mitandao ya kijamii.Makosa 2 tuu Kwa nini? Mengine yataandaliwa lini? 👇👇View attachment 3074383
Mtaandamana wapi?Na Afande aliewatuma tunamtaka mpk kieleweke.
"KUANDAMANA NI HAKI YETU"
Mpk haki ya Binti ipatikane
Nimeiona hii habari leo kwa ITV!
Umeanza kwa ku-assume?Maswali yako yamekosa maana.Majibu hutanipangia.Nayo nita-assume.Haya tuashume hawajambaka.
Binti ana miaka 14. Kwa sheria zetu haziruhusu kulala na binti at that age, tayari inasoma ni ubakaji. Hao jamaa bado wanachomoka?
Ushahidi ulio haribika ni uthibitisho wa daktari, lkn uthibitisho wa video haujaharibika.
Mahakamani wakili wa binti atamuuliza binti swali moja tu, je urilidhia kulala na hawa mabwana kwenye video? Akisema hapana, basi hao majamaa wanakibarua kizito cha kuonyesha kua sio wao kwenye ile clip.
Anae toboa bila shida ni Jamaa alie waagiza tu. Unless
Mkuu uko dunia ya wapi wewe? Hujawai sikia mtu kafungwa kwa kesi ya unyanyasaji kijinsia alio ufanya miaka 10 ilio pita? Hapo daktari anapima nn cha miaka 10 nyuma?
Lazima ujue kua zinakusanywa evidence nyingine, ambazo mpaka mtuhumiwa anashindwa kukataaa.
Ushahidi Gani mzee misura inaonekana acha ngonjera zako hapa kama hawataki kuwafunga waseme tu lakini hamna mambo ya ushahidi hapo wakati video ipo inaonesha sur za wahusika msilete ujuaji kama wanataka kuwaacha wawaache tu mbona tushazoea watu kukosa haki zao tanzania hii
Kuoga mwenyewe ni ngumu. Fanya tu jamaa walikuwa pro wakamuogesha na pipe za maji kabisa, kesi ya ubakaji inakosa evidence.
Ndio maana nikasema wawaache huru kama hata video hazina ushahidi yasiwe mambo mengi wawaache huru mambo mengine yaendelee maana hiyo Sheria unayoleta hapo ni ya kupindisha ukweli kama hawajabaka waachwe huru warudi kulitumikia taifa maana hata video ni uongo hivi wewe Kwa akili Yako Ile video imetengenezwaKwa hiyo umesusa?
Mahakamani hakuna hisia wala siasa bali uhalisia.
Lazima vielelezo vitolewe kwamba hiyo video ni halisi na siyo imetengenezwa
Ndio maana nikasema wawaache huru kama hata video hazina ushahidi yasiwe mambo mengi wawaache huru
Wajibu Gani hukumu ni kufunga au kuacha huru kama hiyo mahakama inaona kwenye video walikua wanacheza na sio kubaka basi wawaache huru maneno mengi ya nini wawaache huru mbona kawaida tu tushazoea watu kunyimwa haki hapa tanzania Kwa kisingizio Cha sheria hatutoshangaaUmma umefanya sehemu yake, Serikali nayo inafanya wajibu wake, na Sasa ni zamu ya Mahakama kufanya wajibu wake wa kutoa tafsiri halisi ya tukio na hukumu.
Hizo namba za Mt..na C... Zinafikirisha sana.Watu wanne wanaotuhumiwa ‘kutumwa na afande’ kumlawiti na kumbaka binti mkazi wa Yombo Dovya, jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Agosti 19, 2024 wamefiksihwa mahakamani na kusomewa mashktaka mawili.
Watuhumiwa hao wamefikishwa katika Mahakama ya Kanda Dodoma na kusomewa mashtaka ya kubaka kwa kikundi (gang rape) na kumwingilia kinyume na maumbile binti ambaye hakutajwa jina lake mahakamani.
Akizungumza na waandishi wa habari nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania mkoani Dodoma, Mkurugenzi Msaidizi Ofisi ya Mashtaka Makao Makuu, Renatus Mkude amesema vijana hao wamekana mashtaka hayo na kutokana na unyeti wa shauri hilo wataendelea kuwa mahabusu.
Watuhumiwa hao waliofikishwa mahakamani ni MT. 140105 Clinton Honest Damas maarufu Nyundo, Amin Lord Lema, Nickson Idala Jackson na C.1693 Playgod Edwin Mushi
Kwa mujibu wa taarifa ya Renatus Mkude, Mkurugenzi Msaidizi Ofisi ya Taifa ya Mashtaka amesema kesi hiyo itasikilizwa kwa siku tano kuanzia leo Agosti 19 hadi Agosti 23 siku ya Ijumaa.
Pia soma:
1. Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa na wanaume watatu
2. Watuhumiwa wa mande ya Ubakaji na ulawiti waliotumwa na afande wakamatwa
Inategemeana na muunganiko wa vielelezo vitakavyokusanywa.Kuthibitisha kuwa aliwatuma. Hapo ndiyo muziki ulipo. Kutoa uthibitisho mahakamani kuhusu jambo fulani kama hili, siyo jambo la kitoto.
Kuna muda nikiliangalia hili suala jinsi wabongo walivyolichukulia kwa hisia kali, natamani mahakama itoe hukumu ambayo iko kinyume kabisa na matarajio yao... halafu nione reaction yao itakuwaje, nataka nione je, kwa hizi hasira zao wataingia mabarabarani kwa ajili ya kudai justice kwa huyo binti kweli kama wanavyowafanya wanawake wa India kwa yule daktari aliyebakwa? Au hasira zao zitaishia kwenye kucomment tu huku mitandaoni halafu baada ya hapo watasahau.Umma umefanya sehemu yake, Serikali nayo inafanya wajibu wake, na Sasa ni zamu ya Mahakama kufanya wajibu wake wa kutoa tafsiri halisi ya tukio na hukumu.
Duuh... wewe jamaa kwa hizi spana unaonekana unaweza hata kuwa wakili mtetezi wa wale magaidi yaliyofungwa kule Guantanamo Bay na mkashinda kesi.Wewe namna gani aisee!
Mwenye mzigo na wajibu kuthibitisha kesi ni anayeshitaki yaani, kwenye kesi hii, Jamuhuri ndiyo yenye wajibu wa kuthibitisha kwanza kwamba kulikuwa na jinai na hiyo jinai ilitendwa na watuhumiwa na watuhumiwa ndiyo hao hapo.
Lazima Jamuhuri iwasilishe ushahidi wa utambuzi na Form ya Gwaride la Utambuzi* mujibu wa PGO.
Lazima form ya Gwaride la Utambuzi iwe imejazwa kikamilifu Kwa mujibu wa PGO.
Once Jamuhuri ikifeli kwenye identification na au Identification Parade, basi kesi inaishia hapo Kwa sababu watuhumiwa waliotenda kosa wameshindikana kutambulika.
NB: Mahakama haifanyi kazi Kwa taarifa za mtandaoni bali inafanya kazi ushahidi uliowasilishwa mbele ya Mahakama.
UShahidi wa video ni mgumu sana aisee,yaani kumfunga mtu ni kipengele ndio maana hata yule afande rama wa zenji alitoboa kwa sababu vipengele ni vingi sana.***** acha kabisaaa tuliwahi kuwa na kesi yaani ushahidi CCTV camera inaonesha kabisaaa ila wana tulitoboa🤣🤣🤣
Unamaanisha wasiojulikana waliojulikana?Hizo kesi jamaa wanaweza kutoboa, Amini usiamini. Hapo kosa kabisa ni makosa ya mtandao ila hayo mengine wanaweza yapangua vizuri kabisa.
Upo sahihi msomi mwenzangu.Unaonekana rahisi ila ugumu upo hapa👇
The admissibility of electronic evidence is governed by the Electronic Transactions Act, 2015.
Under section 18 of the Electronic Transaction Act, all what is needs to be proved in order to have the electronic evidence admitted in Court as exhibit is the reliability of the electronic evidence regarding the way the recording was taken and how it was kept until it was brought to Court as evidence.
The witness who seeks to produce electronic evidence must first lead evidence that rules out the possibility of manipulation of the electronic evidence before seeking to tender it.
Before seeking to tender the electronic evidence, the witness should satisfy the Court by evidence that the electronic evidence sought to be tendered is authentic.
This is done by proving the mechanical working condition of the device at the time of recording, how the recording was done, by whom it was done and stored until the evidence was produced in Court.
If the electronic record was transformed into secondary media like flash, the mode of transformation into secondary media should also be proved.
Kama unajua kiingereza soma hapo👆.
Ni vile sina muda ningetafsiri.
Ajax wenyewe wasengesenge sana siku hzi kama huyo mchezaji wao🤣🤣🤣Avue hio jersey ya Ajax msenge huyo