Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Hao ndiyo wafiraji/mashoga?View attachment 3074234
WABAKAJI WAMEFIKISHWA MAHAKAMANI ✊🏽
.
Watu wanne wanaotuhumiwa 'kutumwa na afande" kumlawiti na kumbaka binti mkazi wa Yombo Dovya, jijini Dares Salaam leo Jumatatu Agosti 19, 2024 wamefikishwa mahakamani na kusomewa mashtaka mawili.
.
Watuhumiwa hao wamefikishwa katika Mahakama ya Kanda Dodoma na kusomewa mashtaka ya kubaka kwa kikundi (gang rape) na kumwingilia kinyume na maumbile binti ambaye hakutajwa jina lake mahakamani.
NB;Anayemuingilia mtu mmoja kinyume na maumbile hutambulika kwa sifa ya kuwa ni shoga.