Watu 4 wanaotuhumiwa ‘kutumwa na afande’ kumlawiti na kumbaka binti mkazi wa Yombo Dovya Mkoani Dar, Wafikishwa Mahakamani

Watu 4 wanaotuhumiwa ‘kutumwa na afande’ kumlawiti na kumbaka binti mkazi wa Yombo Dovya Mkoani Dar, Wafikishwa Mahakamani

View attachment 3074234
WABAKAJI WAMEFIKISHWA MAHAKAMANI ✊🏽
.
Watu wanne wanaotuhumiwa 'kutumwa na afande" kumlawiti na kumbaka binti mkazi wa Yombo Dovya, jijini Dares Salaam leo Jumatatu Agosti 19, 2024 wamefikishwa mahakamani na kusomewa mashtaka mawili.
.
Watuhumiwa hao wamefikishwa katika Mahakama ya Kanda Dodoma na kusomewa mashtaka ya kubaka kwa kikundi (gang rape) na kumwingilia kinyume na maumbile binti ambaye hakutajwa jina lake mahakamani.
Hao ndiyo wafiraji/mashoga?
NB;Anayemuingilia mtu mmoja kinyume na maumbile hutambulika kwa sifa ya kuwa ni shoga.
 
Watu wanajua kuzusha sana bongo, walikuwa wanasema ni wanajeshi Sasa hao ni.wanajeshi wa wapi? Au huyo mmoja kuvaa likitambaa lenye rangi zinazofanana na Jeshi?Wahalifu huita mara nyingi KIONGOZI wao Kamanda, afande, hivyo kutaka neno afande haimaanishi ni afande kweli. Wapate adhabu Kali ili iwe fundisho kwa wengine maana kwa ujinga walioufanya tayari umeleta madhara kwa wasiohusika na kwa Taifa kwa ujumla
Huna akili!
 
Hoja ya uthibitisho wa video ni ya msingi kwa sababu maelezo ya historia ya kesi, ushahidi muhimu ni wa video.

Binti ndiyo aliyebakwa na wazazi walienda kufungua kesi polisi kwamba binti yao kubakwa....Je Binti alibakwa kweli? Kwa maelezo ya polisi baada ya kumuhoji alisema kwamba alibakwa hivyo wakaona ni njema wampe mtu wa saikolijia na kumtenga safe house kwa ushauri/nasaha ,Kuthibitisha kwamba alibakwa/lawitiwa hapa ni swala la wataalamu-Forensic investigation.

Binti alitekwa akapelekwa ghetto akabakwa - Hapa litaitishwa gwaride la utambuzi.
 
Ili ionekane kabakwa ilipaswa kuwe na nini?Wazazi ndiyo wanathibitisha kwa lipi?Mtaalamu wa saikolojia ndiyo atathibitisha ubakaji akiwa anamuhoji?
 
Unaonekana rahisi ila ugumu upo hapa👇

The admissibility of electronic evidence is governed by the Electronic Transactions Act, 2015.

Under section 18 of the Electronic Transaction Act, all what is needs to be proved in order to have the electronic evidence admitted in Court as exhibit is the reliability of the electronic evidence regarding the way the recording was taken and how it was kept until it was brought to Court as evidence.

The witness who seeks to produce electronic evidence must first lead evidence that rules out the possibility of manipulation of the electronic evidence before seeking to tender it.

Before seeking to tender the electronic evidence, the witness should satisfy the Court by evidence that the electronic evidence sought to be tendered is authentic.

This is done by proving the mechanical working condition of the device at the time of recording, how the recording was done, by whom it was done and stored until the evidence was produced in Court.

If the electronic record was transformed into secondary media like flash, the mode of transformation into secondary media should also be proved.
What about the simcard ?who was it registered to?Does it belong to the suspect smoking what looks like cannabis and filming himself while the Act was happening?Is smoking cannabis legal?Does the simcard belong to the victim?Hayo majibu yakipatikana ndiyo wataelekea huko kwenye device.Ushahidi ni mzito hata kwa kingereza au kiswahili hawatoboi,anayetoboa ni aliyewatuma,wakijifanya wajuaji sana kuna watalamu wa cyber crime wamguse mpaka aliyewatuma.
 
kuna madai kuwa mwanamke huyo alikuwa anajiuza, yaani kazi yake ni ukahaba.
kama ni hivyo basi hapo hamna kesi.
labda washitakiwe kwa kosa la kusambaza picha za ngono.
Kununua mtu anayejiuza ni biashara halali? Na wewe unataka kuwa kama yulealiye hamishwa?
 
Binti ndiyo aliyebakwa na wazazi walienda kufungua kesi polisi kwamba binti yao kubakwa....Je Binti alibakwa kweli? Kwa maelezo ya polisi baada ya kumuhoji alisema kwamba alibakwa hivyo wakaona ni njema wampe mtu wa saikolijia na kumtenga safe house kwa ushauri/nasaha ,Kuthibitisha kwamba alibakwa/lawitiwa hapa ni swala la wataalamu-Forensic investigation.

Binti alitekwa akapelekwa ghetto akabakwa - Hapa litaitishwa gwaride la utambuzi.
Polisi wanabadilika badilika kulingana na upepo unavoenda
Si wakuwaamini sana 🙆
 
What about the simcard ?who was it registered to?Does it belong the suspect smoking cannabis and filming himself while the Act was happening?Does it belong to the victim?Hayo majibu yakipatikana ndiyo wataelekea huko kwenye device.Ushahidi ni mzito hata kwa kingereza au kiswahili hawatoboi,anayetoboa ni aliyewatuma.

Ninaona raia wanakomaa na "video" tu bila kujua mazito yatayowakumba mawakili wa serikali.

Bahati mbaya au nzuri mara nyingi kesi updates kwa Tanzania ni nadra sana, vinginevyo raia wangepiga sana kelele kuhusiana na matokeo ya kesi hii.
 
Vijana wanapooanaga Maku akili zinaruka

Sasa wamerisk maisha yao kiafya, kifedha na kila kitu kwa issue ambayo wangeipata hata kawa sabuni ya mia 100
 
Back
Top Bottom