Watu 4 wanaotuhumiwa ‘kutumwa na afande’ kumlawiti na kumbaka binti mkazi wa Yombo Dovya Mkoani Dar, Wafikishwa Mahakamani

Me nakwambia hii kesi kwa hati hio ya mashtaka jamaa wanatoboa unless yaongozwe mengine.
 
Ulishawahi kujiuliza ni kwanin wabongo huwa yakitokea mambo mazito kama haya wanakuwa na kimuhe muhe cha kumtaka raisi aingilie kati na yeye ndio atoe maamuzi ilihali vyombo husika vya kushughulika nayo vipo?
Achilia mbali wabongo na mkuu wao.
Sheria inasemaje?
 
Nashangaa wengi mnashadadia afande nae adakwe Sasa najiuliza hivi Ile si mijitu mizima kabisa imekubali kutumwa kwenda kubaka,kupiga,kulawiti,Mimi naona kesi iwe Yao tu sababu kama huyo afusa afande akiingizwa kwenye kesi wale jamaa lazima kesi itakua laini sana kwao nafikiri wengi mnashadadia tu ila kama afande akadakwa basi kesi itakua imeisha kwao na afande hawezi kufungwa Kwa Tanzania hii sababu hamna kitu chochote kinachosibitisha kahusika sababu maneno hayo ya kuitana afande hata mtaani tunaitana hao wenyewe walivyokua wanamuambia muombe msamaha afande halafu wanamuambia funua chuchu baadae wanamuambia funika chuchu kiongozi ndio mjue kwamba hayo ni maneno tu ya mtaani
 
Nashangaa watanzania wamekazana afande afande hivi Ile si mijitu mizima kabisa inakubalije kuendeshwa na mwanamke akili walikua wanajua kabisa wanabaka wanalawiti Sasa Leo kesi imewaangukia wao kwakua misura Yao inaonekana kwenye video eti uje umwangushie jumba bovu afande halafu hayo majina wanapeana watu mitaani hata hapa kazini kwangu Kuna mzee tunamuita afande ila ni mfungua geti halafu hata wao wenyewe kwenye video nyingine walikua wanamuambia Binti funua chuchu baadae wanamuambia funika chuchu kiongozi ndio mjue kwamba wale ni vibaka tu wale kamba zao miaka 30 au maisha shuhuli iishe ila kama afande akikamatwa nawahakikishia hao jamaa kesi itakua rahisi sana kwao afande hatofungwa na wao hawatofungwa
 
Achilia mbali wabongo na mkuu wao.
Sheria inasemaje?
Wabongo hawajui kitu kinachoitwa legal concept of responsibility... wao wanachojua ni jambo fulani lifanyike kwa usahihi ni lazima raisi atie mkono wake.
 
Kama vipande thelathini viliweza kumtoa Yesu chambo sembuse kwa Hawa vijana 🤣
 
JF imkua kn faceboook
 
Kupatikana atapatikana lakini hukumu yake haiwi sawa na watenda kosa, gang rape kwa mujibu wa penal code adhabu yake ni kifungo cha maisha wameshitakiwa kwa makosa mawili lakini hukumu watakayo kutana nayo wakikutwa na hatia ile ile hukumu kubwa zaidi ambayo ni kifungo cha maisha, lakini huyo afande yeye hata akipatikana hatahukumiwa kifungo cha maisha, hayo ndo madhara ya kutumwa kufanya kitu na wewe ukaenda kutenda kama vile umekatwa kichwa.
 
Afande hatokaa jela cheo chake kikubwa kama akipatikana na hao watatoka vizuri sana tena wao wanaombea afande akamatwe sababu kesi itakua kaipunguza makali afande baada ya kukamatwa amini nakuambia hii ndio tanzania
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…