Ushahidi ulio haribika ni uthibitisho wa daktari, lkn uthibitisho wa video haujaharibika.
Mahakamani wakili wa binti atamuuliza binti swali moja tu, je urilidhia kulala na hawa mabwana kwenye video? Akisema hapana, basi hao majamaa wanakibarua kizito cha kuonyesha kua sio wao kwenye ile clip.
Anae toboa bila shida ni Jamaa alie waagiza tu. Unless
Mkuu uko dunia ya wapi wewe? Hujawai sikia mtu kafungwa kwa kesi ya unyanyasaji kijinsia alio ufanya miaka 10 ilio pita? Hapo daktari anapima nn cha miaka 10 nyuma?
Lazima ujue kua zinakusanywa evidence nyingine, ambazo mpaka mtuhumiwa anashindwa kukataaa.