Tunaye huyu Hadi afike kileleni
Hawa ndio wavuta Bangi au ni wanajeshi?Watu wanne wanaotuhumiwa ‘kutumwa na afande’ kumlawiti na kumbaka binti mkazi wa Yombo Dovya, jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Agosti 19, 2024 wamefiksihwa mahakamani na kusomewa mashktaka mawili...
Ngorongoro tunaiamsha keshoInawezekana maana mpaka wasanii wameongelea hii ishu ya kubakwa badala ya ngorongoro. Mchezo umehamishwa.
Wabongo kuwahamisha ni ishu ndogo sanaInawezekana maana mpaka wasanii wameongelea hii ishu ya kubakwa badala ya ngorongoro. Mchezo umehamishwa.
Safi sana jeshi la wananchi kwa kutotetea mambo ya hovyo kwa kukaa kimya..Ni matumaini yangu alipata adhabu za kambini kabla ya kukabidhiwa polisi.Hawa ndio wavuta Bangi au ni wanajeshi?
MT. 140105 Clinton Honest Damas maarufu Nyundo, Amin Lord Lema, Nickson Idala Jackson na C.1693 Playgod Edwin Mushi
Hatutaki drama za poliCCM. Tunataka afande aliyewatuma hawa wahuni kufanya ufiraji naye akamatwe na ikibidi naye afirwe ili liwe fundisho kwa maafande wengine wenye akili za kikwuma kama yeye.Watu wanne wanaotuhumiwa ‘kutumwa na afande’ kumlawiti na kumbaka binti mkazi wa Yombo Dovya, jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Agosti 19, 2024 wamefiksihwa mahakamani na kusomewa mashktaka mawili...
Maji yameorojeka tayari, tunaenda kwenye uchaguzi, hakuna MTU anayetaka kuchafukaBila shaka huyo ndo wanaemlinda sasa.
Watu wanne wanaotuhumiwa ‘kutumwa na afande’ kumlawiti na kumbaka binti mkazi wa Yombo Dovya, jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Agosti 19, 2024 wamefiksihwa mahakamani na kusomewa mashktaka mawili.
Watuhumiwa hao wamefikishwa katika Mahakama ya Kanda Dodoma na kusomewa mashtaka ya kubaka kwa kikundi (gang rape) na kumwingilia kinyume na maumbile binti ambaye hakutajwa jina lake mahakamani.
Akizungumza na waandishi wa habari nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania mkoani Dodoma, Mkurugenzi Msaidizi Ofisi ya Mashtaka Makao Makuu, Renatus Mkude amesema vijana hao wamekana mashtaka hayo na kutokana na unyeti wa shauri hilo wataendelea kuwa mahabusu.
Watuhumiwa hao waliofikishwa mahakamani ni MT. 140105 Clinton Honest Damas maarufu Nyundo, Amin Lord Lema, Nickson Idala Jackson na C.1693 Playgod Edwin Mushi
Kwa mujibu wa taarifa ya Renatus Mkude, Mkurugenzi Msaidizi Ofisi ya Taifa ya Mashtaka amesema kesi hiyo itasikilizwa kwa siku tano kuanzia leo Agosti 19 hadi Agosti 23 siku ya Ijumaa.
View attachment 3074230
Ni ngumu kivipi wakati sura na sauti ni zao 100%.Na jamaa alisema zamu yake ikifika anakula mavi na aliomba maji wakamyima na kumtisha kumpasua na chupa ya serengeti.Hata binti kisema alikubali tigo ni mali ya taifa.Changamoto ya hii kesi siyo ushahidi ila ni aina ya ushahidi utakaotolewa.
Ushahidi wa video na picha unaonekana rahisi sana ila kanuni zake za kuuwasilisha mahakamani ni ngumu kiasi.
Huyu nyundo wasingemtanguliza mbele tungewakataaWatu wanne wanaotuhumiwa ‘kutumwa na afande’ kumlawiti na kumbaka binti mkazi wa Yombo Dovya, jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Agosti 19, 2024 wamefiksihwa mahakamani na kusomewa mashktaka mawili.
Watuhumiwa hao wamefikishwa katika Mahakama ya Kanda Dodoma na kusomewa mashtaka ya kubaka kwa kikundi (gang rape) na kumwingilia kinyume na maumbile binti ambaye hakutajwa jina lake mahakamani.
Akizungumza na waandishi wa habari nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania mkoani Dodoma, Mkurugenzi Msaidizi Ofisi ya Mashtaka Makao Makuu, Renatus Mkude amesema vijana hao wamekana mashtaka hayo na kutokana na unyeti wa shauri hilo wataendelea kuwa mahabusu.
Watuhumiwa hao waliofikishwa mahakamani ni MT. 140105 Clinton Honest Damas maarufu Nyundo, Amin Lord Lema, Nickson Idala Jackson na C.1693 Playgod Edwin Mushi
Kwa mujibu wa taarifa ya Renatus Mkude, Mkurugenzi Msaidizi Ofisi ya Taifa ya Mashtaka amesema kesi hiyo itasikilizwa kwa siku tano kuanzia leo Agosti 19 hadi Agosti 23 siku ya Ijumaa.
Pia soma:
1.
Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa na wanaume watatu
2. Watuhumiwa wa mande ya Ubakaji na ulawiti waliotumwa na afande wakamatwa
Gang rape hukumu yake ni kifungo cha maishaSafi sana. Hawa wapigwe mvua ya miaka 70 kila mmoja
Ni askari na Force numbers zao zimeandikwa sasa yote tisa kumi tunamtaka huyo Captain aliyewatuma vinginevyo tutakuwa hatuelewi kitu chochote.Hawa ndio wavuta Bangi au ni wanajeshi?
MT. 140105 Clinton Honest Damas maarufu Nyundo, Amin Lord Lema, Nickson Idala Jackson na C.1693 Playgod Edwin Mushi