Watu 4 wanaotuhumiwa ‘kutumwa na afande’ kumlawiti na kumbaka binti mkazi wa Yombo Dovya Mkoani Dar, Wafikishwa Mahakamani

455900093_693357609656866_3907166397781890531_n.jpg

WABAKAJI WAMEFIKISHWA MAHAKAMANI ✊🏽
.
Watu wanne wanaotuhumiwa 'kutumwa na afande" kumlawiti na kumbaka binti mkazi wa Yombo Dovya, jijini Dares Salaam leo Jumatatu Agosti 19, 2024 wamefikishwa mahakamani na kusomewa mashtaka mawili.
.
Watuhumiwa hao wamefikishwa katika Mahakama ya Kanda Dodoma na kusomewa mashtaka ya kubaka kwa kikundi (gang rape) na kumwingilia kinyume na maumbile binti ambaye hakutajwa jina lake mahakamani.
 
Attachments

  • 455900093_693357609656866_3907166397781890531_n.jpg
    455900093_693357609656866_3907166397781890531_n.jpg
    131.8 KB · Views: 3
Watu wanne wanaotuhumiwa ‘kutumwa na afande’ kumlawiti na kumbaka binti mkazi wa Yombo Dovya, jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Agosti 19, 2024 wamefiksihwa mahakamani na kusomewa mashktaka mawili...
Hawa ndio wavuta Bangi au ni wanajeshi?

MT. 140105 Clinton Honest Damas maarufu Nyundo, Amin Lord Lema, Nickson Idala Jackson na C.1693 Playgod Edwin Mushi
 
Watu wanne wanaotuhumiwa ‘kutumwa na afande’ kumlawiti na kumbaka binti mkazi wa Yombo Dovya, jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Agosti 19, 2024 wamefiksihwa mahakamani na kusomewa mashktaka mawili...
Hatutaki drama za poliCCM. Tunataka afande aliyewatuma hawa wahuni kufanya ufiraji naye akamatwe na ikibidi naye afirwe ili liwe fundisho kwa maafande wengine wenye akili za kikwuma kama yeye.
 
Watu wanne wanaotuhumiwa ‘kutumwa na afande’ kumlawiti na kumbaka binti mkazi wa Yombo Dovya, jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Agosti 19, 2024 wamefiksihwa mahakamani na kusomewa mashktaka mawili.

Watuhumiwa hao wamefikishwa katika Mahakama ya Kanda Dodoma na kusomewa mashtaka ya kubaka kwa kikundi (gang rape) na kumwingilia kinyume na maumbile binti ambaye hakutajwa jina lake mahakamani.

Akizungumza na waandishi wa habari nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania mkoani Dodoma, Mkurugenzi Msaidizi Ofisi ya Mashtaka Makao Makuu, Renatus Mkude amesema vijana hao wamekana mashtaka hayo na kutokana na unyeti wa shauri hilo wataendelea kuwa mahabusu.

Watuhumiwa hao waliofikishwa mahakamani ni MT. 140105 Clinton Honest Damas maarufu Nyundo, Amin Lord Lema, Nickson Idala Jackson na C.1693 Playgod Edwin Mushi

Kwa mujibu wa taarifa ya Renatus Mkude, Mkurugenzi Msaidizi Ofisi ya Taifa ya Mashtaka amesema kesi hiyo itasikilizwa kwa siku tano kuanzia leo Agosti 19 hadi Agosti 23 siku ya Ijumaa.

View attachment 3074230

Hapa tusitafute mchawi wa hili. Kila mtu aangalie katika malezi; nini ambacho alipaswa kufanya, hakufanya na nini alipaswa asifanye, alifanya.
 
Pongezi sana DCI/DPP kwa hatua moja ya kuwapeleka Wahuni mahakamani ,ila kuna mtuhumiwa mmoja ASP Afande huyo mmemuacha ,hatujui kwanini wakati yeye ndiyo mfadhili wa hupo uhalifu......Hao wahuni wasingetenda huo uhalifu pasipo kutumwa na Afande .....Hata Zombe alifikishwa Mhakamani kwa kesi ya mauaji ya wafanyabiashara wa madini wa mahenge ,mahakama ndiyo iliyomuondoa hatiani ,sasa inatakiwa naye ASP afande aunganishwe na hao wahuni ,tunataka waende kukanana mahakamani otherwise mtakuwa mnalinda wahalifu na itatengeneze precedence mbaya.
 
Changamoto ya hii kesi siyo ushahidi ila ni aina ya ushahidi utakaotolewa.

Ushahidi wa video na picha unaonekana rahisi sana ila kanuni zake za kuuwasilisha mahakamani ni ngumu kiasi.
Ni ngumu kivipi wakati sura na sauti ni zao 100%.Na jamaa alisema zamu yake ikifika anakula mavi na aliomba maji wakamyima na kumtisha kumpasua na chupa ya serengeti.Hata binti kisema alikubali tigo ni mali ya taifa.
 
Watu wanne wanaotuhumiwa ‘kutumwa na afande’ kumlawiti na kumbaka binti mkazi wa Yombo Dovya, jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Agosti 19, 2024 wamefiksihwa mahakamani na kusomewa mashktaka mawili.

Watuhumiwa hao wamefikishwa katika Mahakama ya Kanda Dodoma na kusomewa mashtaka ya kubaka kwa kikundi (gang rape) na kumwingilia kinyume na maumbile binti ambaye hakutajwa jina lake mahakamani.

Akizungumza na waandishi wa habari nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania mkoani Dodoma, Mkurugenzi Msaidizi Ofisi ya Mashtaka Makao Makuu, Renatus Mkude amesema vijana hao wamekana mashtaka hayo na kutokana na unyeti wa shauri hilo wataendelea kuwa mahabusu.

Watuhumiwa hao waliofikishwa mahakamani ni MT. 140105 Clinton Honest Damas maarufu Nyundo, Amin Lord Lema, Nickson Idala Jackson na C.1693 Playgod Edwin Mushi

Kwa mujibu wa taarifa ya Renatus Mkude, Mkurugenzi Msaidizi Ofisi ya Taifa ya Mashtaka amesema kesi hiyo itasikilizwa kwa siku tano kuanzia leo Agosti 19 hadi Agosti 23 siku ya Ijumaa.

Pia soma:

1.
Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa na wanaume watatu

2. Watuhumiwa wa mande ya Ubakaji na ulawiti waliotumwa na afande wakamatwa
Huyu nyundo wasingemtanguliza mbele tungewakataa
 
Back
Top Bottom