Watu 4 wanaotuhumiwa ‘kutumwa na afande’ kumlawiti na kumbaka binti mkazi wa Yombo Dovya Mkoani Dar, Wafikishwa Mahakamani

Watu 4 wanaotuhumiwa ‘kutumwa na afande’ kumlawiti na kumbaka binti mkazi wa Yombo Dovya Mkoani Dar, Wafikishwa Mahakamani

Kama Kuna mtu aliwatuma lazima awe katika wasiwasi na majonzi makubwa kwa ku wahalibia maisha madogo.

Ila kauli isiyokuwa na umakini ya Bosi imeamsha hasira za wananchi.
 
Hahahaa huyu Jamaa aliyejikausha kwa adabu utazani siyo yeye alikuwa ankula Bangi kabs uku anachekelea kamera

Ilaa haya maisha tuishii kwa taadhari sana
 
Attachments

  • IMG-20240819-WA0032.jpg
    IMG-20240819-WA0032.jpg
    270.5 KB · Views: 4
Labda lengo lilikua hao madogo waundiwe kesi km hivi then wadungwe you never know wanajua wenyewe huko walichopanga labda Jela kuna mchongo wanaufuatilia ni special mission sasa Swali linakuja wanaingiaje Jela ndio hapo wanapata wazo wafanye eeh umenielewa sijui? Sasa huko Jela kuna mchongo gani Mimi na Wewe hatujui ngoja wakienda wakirudi watatusimulia kwenye vituo vya Redio na TV
Punguza kuangalia movies
 
View attachment 3074234
WABAKAJI WAMEFIKISHWA MAHAKAMANI ✊🏽
.
Watu wanne wanaotuhumiwa 'kutumwa na afande" kumlawiti na kumbaka binti mkazi wa Yombo Dovya, jijini Dares Salaam leo Jumatatu Agosti 19, 2024 wamefikishwa mahakamani na kusomewa mashtaka mawili.
.
Watuhumiwa hao wamefikishwa katika Mahakama ya Kanda Dodoma na kusomewa mashtaka ya kubaka kwa kikundi (gang rape) na kumwingilia kinyume na maumbile binti ambaye hakutajwa jina lake mahakamani.
Huyo mwenye jezi kama ya Simba kafupi sana, kaliwezaje kuwa Askari!
 
Unaonekana rahisi ila ugumu upo hapa👇

The admissibility of electronic evidence is governed by the Electronic Transactions Act, 2015.

Under section 18 of the Electronic Transaction Act, all what is needs to be proved in order to have the electronic evidence admitted in Court as exhibit is the reliability of the electronic evidence regarding the way the recording was taken and how it was kept until it was brought to Court as evidence.

The witness who seeks to produce electronic evidence must first lead evidence that rules out the possibility of manipulation of the electronic evidence before seeking to tender it.

Before seeking to tender the electronic evidence, the witness should satisfy the Court by evidence that the electronic evidence sought to be tendered is authentic.
This is done by proving the mechanical working condition of the device at the time of recording, how the recording was done, by whom it was done and stored until the evidence was produced in Court.

If the electronic record was transformed into secondary media like flash, the mode of transformation into secondary media should also be proved.

Kama unajua kiingereza soma hapo👆.

Ni vile sina muda ningetafsiri.

Kwani yule RC aliyefikishwa mahakamani kwa kesi ya ubakaji kulikuwa na video? Binti si ndiye aliyetendewa? Binti si ndiye aliyeenda kushitaki? Video(Picha jongefu) au CCTV footage ni just a supporting evidence tu na wala mahakama hawatorelay na hizo clips ,watarelay na maelezo ya Binti maana yeye ndiye aliyelawitiwa na madaktari watathibitisha kama kweli binti aliingiliwa.
 
Watu wanajua kuzusha sana bongo, walikuwa wanasema ni wanajeshi Sasa hao ni.wanajeshi wa wapi? Au huyo mmoja kuvaa likitambaa lenye rangi zinazofanana na Jeshi?Wahalifu huita mara nyingi KIONGOZI wao Kamanda, afande, hivyo kutaka neno afande haimaanishi ni afande kweli. Wapate adhabu Kali ili iwe fundisho kwa wengine maana kwa ujinga walioufanya tayari umeleta madhara kwa wasiohusika na kwa Taifa kwa ujumla
Nakuuliza hizo namba zinazoanzia na MT na C ni za nini?
 
Unaonekana rahisi ila ugumu upo hapa👇

The admissibility of electronic evidence is governed by the Electronic Transactions Act, 2015.

Under section 18 of the Electronic Transaction Act, all what is needs to be proved in order to have the electronic evidence admitted in Court as exhibit is the reliability of the electronic evidence regarding the way the recording was taken and how it was kept until it was brought to Court as evidence.

The witness who seeks to produce electronic evidence must first lead evidence that rules out the possibility of manipulation of the electronic evidence before seeking to tender it.

Before seeking to tender the electronic evidence, the witness should satisfy the Court by evidence that the electronic evidence sought to be tendered is authentic.
This is done by proving the mechanical working condition of the device at the time of recording, how the recording was done, by whom it was done and stored until the evidence was produced in Court.

If the electronic record was transformed into secondary media like flash, the mode of transformation into secondary media should also be proved.

Kama unajua kiingereza soma hapo👆.

Ni vile sina muda ningetafsiri.

Hapa kuna tafsiri ya maandishi yako kwa Kiswahili:

Ushahidi wa kielektroniki unakubalika kwa mujibu wa
Sheria ya Miamala ya Kielektroniki ya mwaka 2015.
Kifungu cha 18 cha Sheria ya Miamala ya Kielektroniki kinaeleza kuwa ili ushahidi wa kielektroniki ukubalike mahakamani kama kielelezo, kinachohitajika kuthibitishwa ni uaminifu wa ushahidi wa kielektroniki kuhusu jinsi rekodi ilivyorekodiwa na jinsi ilivyohifadhiwa hadi ilipoletwa mahakamani kama ushahidi.

Shahidi anayetarajia kutoa ushahidi wa kielektroniki lazima kwanza aonyeshe ushahidi unaoondoa uwezekano wa kudanganywa kwa ushahidi wa kielektroniki kabla ya kuwasilisha.
Kabla ya kuwasilisha ushahidi wa kielektroniki, shahidi anapaswa kuridhisha Mahakama kwa ushahidi kwamba ushahidi wa kielektroniki unaotarajiwa kuwasilishwa ni halisi. Hii inafanywa kwa kuthibitisha hali ya kiufundi ya kifaa wakati wa kurekodi, jinsi rekodi ilivyofanywa, na nani aliyeifanya na kuhifadhi hadi ushahidi ulipowasilishwa mahakamani.

Ikiwa rekodi ya kielektroniki ilibadilishwa kuwa vyombo vya sekondari kama flash, njia ya kubadilisha kuwa vyombo vya sekondari pia inapaswa kuthibitishwa.
 
Watu wanne wanaotuhumiwa ‘kutumwa na afande’ kumlawiti na kumbaka binti mkazi wa Yombo Dovya, jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Agosti 19, 2024 wamefiksihwa mahakamani na kusomewa mashktaka mawili.

Watuhumiwa hao wamefikishwa katika Mahakama ya Kanda Dodoma na kusomewa mashtaka ya kubaka kwa kikundi (gang rape) na kumwingilia kinyume na maumbile binti ambaye hakutajwa jina lake mahakamani.

Akizungumza na waandishi wa habari nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania mkoani Dodoma, Mkurugenzi Msaidizi Ofisi ya Mashtaka Makao Makuu, Renatus Mkude amesema vijana hao wamekana mashtaka hayo na kutokana na unyeti wa shauri hilo wataendelea kuwa mahabusu.

Watuhumiwa hao waliofikishwa mahakamani ni MT. 140105 Clinton Honest Damas maarufu Nyundo, Amin Lord Lema, Nickson Idala Jackson na C.1693 Playgod Edwin Mushi

Kwa mujibu wa taarifa ya Renatus Mkude, Mkurugenzi Msaidizi Ofisi ya Taifa ya Mashtaka amesema kesi hiyo itasikilizwa kwa siku tano kuanzia leo Agosti 19 hadi Agosti 23 siku ya Ijumaa.

Pia soma:

1. Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa na wanaume watatu

2. Watuhumiwa wa mande ya Ubakaji na ulawiti waliotumwa na afande wakamatwa
Waliona raha kuchezea tope la mtoto wa watu, acha waaibike pimbi hawa.
 
Ili ithibitike kwamba kulikuwa na ubakaji na ulawiti, ni lazima ithibitishwe kwamba watuhumiwa walimuingilia bila ridhaa yake Binti.

Ili kuthibitisha kwamba watuhumiwa ndiyo walimuingilia ni lazima ripoti ya daktari iseme kwamba kwenye sehemu za Siri za Binti kulikuwa na majimaji ya watuhumiwa.

Sasa changamoto hapa ni ukosefu wa hayo majimaji. Sidhani kama alipimwa kabla hajaoga. Hapa kimsingi hakuna uthibitisho wa kuingiliwa.

Tuje kwenye ushahidi wa video.

Kanuni za ushahidi wa video zinamtaka Shahid athibitishe kwanza kwamba vifaa vilivyorekodi vilikuwa vinafanya kazi Kwa ufasaha kabla ya kurekodi, na uthibitisho unatakiwa uwe wa mtaalamu aliyebobea kisomi katika fani ya electronic. Lengo la kanuni hii ni kuepuka uwezekano kwamba video imeyengenezwa na siyo halisi.

Pia kama video zimehamishwa kutoka kwenye simu, CCTV na kuwekwa kwenye flash, ni lazima ithibitishwe kwamba kuhamisha huko hakukuathiri ushahidi. Hili linaenda sambamba na kuthibitisha kwamba hiyo flash ilikuwa salama yaani haina virus au mechanical damage iliyopunguza ubora wa ushahidi.
 
Back
Top Bottom