Che mittoga
JF-Expert Member
- Mar 28, 2017
- 12,658
- 16,205
Punguza kuangalia moviesLabda lengo lilikua hao madogo waundiwe kesi km hivi then wadungwe you never know wanajua wenyewe huko walichopanga labda Jela kuna mchongo wanaufuatilia ni special mission sasa Swali linakuja wanaingiaje Jela ndio hapo wanapata wazo wafanye eeh umenielewa sijui? Sasa huko Jela kuna mchongo gani Mimi na Wewe hatujui ngoja wakienda wakirudi watatusimulia kwenye vituo vya Redio na TV
Wamejiharibia wao wenyewe.mwenye akili timamu huwezi kutumwa kubaka na ukakubali.Kama Kuna mtu aliwatuma lazima awe katika wasiwasi na majonzi makubwa kwa ku wahalibia maisha madogo.
Ila kauli isiyokuwa na umakini ya Bosi imeamsha hasira za wananchi.
Mfadholi wa tukio (afande) hayumo?!Watuhumiwa hao waliofikishwa mahakamani ni MT. 140105 Clinton Honest Damas maarufu Nyundo, Amin Lord Lema, Nickson Idala Jackson na C.1693 Playgod Edwin Mushi
Huyo mwenye jezi kama ya Simba kafupi sana, kaliwezaje kuwa Askari!View attachment 3074234
WABAKAJI WAMEFIKISHWA MAHAKAMANI ✊🏽
.
Watu wanne wanaotuhumiwa 'kutumwa na afande" kumlawiti na kumbaka binti mkazi wa Yombo Dovya, jijini Dares Salaam leo Jumatatu Agosti 19, 2024 wamefikishwa mahakamani na kusomewa mashtaka mawili.
.
Watuhumiwa hao wamefikishwa katika Mahakama ya Kanda Dodoma na kusomewa mashtaka ya kubaka kwa kikundi (gang rape) na kumwingilia kinyume na maumbile binti ambaye hakutajwa jina lake mahakamani.
Unaonekana rahisi ila ugumu upo hapa👇
The admissibility of electronic evidence is governed by the Electronic Transactions Act, 2015.
Under section 18 of the Electronic Transaction Act, all what is needs to be proved in order to have the electronic evidence admitted in Court as exhibit is the reliability of the electronic evidence regarding the way the recording was taken and how it was kept until it was brought to Court as evidence.
The witness who seeks to produce electronic evidence must first lead evidence that rules out the possibility of manipulation of the electronic evidence before seeking to tender it.
Before seeking to tender the electronic evidence, the witness should satisfy the Court by evidence that the electronic evidence sought to be tendered is authentic.
This is done by proving the mechanical working condition of the device at the time of recording, how the recording was done, by whom it was done and stored until the evidence was produced in Court.
If the electronic record was transformed into secondary media like flash, the mode of transformation into secondary media should also be proved.
Kama unajua kiingereza soma hapo👆.
Ni vile sina muda ningetafsiri.
Nakuuliza hizo namba zinazoanzia na MT na C ni za nini?Watu wanajua kuzusha sana bongo, walikuwa wanasema ni wanajeshi Sasa hao ni.wanajeshi wa wapi? Au huyo mmoja kuvaa likitambaa lenye rangi zinazofanana na Jeshi?Wahalifu huita mara nyingi KIONGOZI wao Kamanda, afande, hivyo kutaka neno afande haimaanishi ni afande kweli. Wapate adhabu Kali ili iwe fundisho kwa wengine maana kwa ujinga walioufanya tayari umeleta madhara kwa wasiohusika na kwa Taifa kwa ujumla
Unaonekana rahisi ila ugumu upo hapa👇
The admissibility of electronic evidence is governed by the Electronic Transactions Act, 2015.
Under section 18 of the Electronic Transaction Act, all what is needs to be proved in order to have the electronic evidence admitted in Court as exhibit is the reliability of the electronic evidence regarding the way the recording was taken and how it was kept until it was brought to Court as evidence.
The witness who seeks to produce electronic evidence must first lead evidence that rules out the possibility of manipulation of the electronic evidence before seeking to tender it.
Before seeking to tender the electronic evidence, the witness should satisfy the Court by evidence that the electronic evidence sought to be tendered is authentic.
This is done by proving the mechanical working condition of the device at the time of recording, how the recording was done, by whom it was done and stored until the evidence was produced in Court.
If the electronic record was transformed into secondary media like flash, the mode of transformation into secondary media should also be proved.
Kama unajua kiingereza soma hapo👆.
Ni vile sina muda ningetafsiri.
Waliona raha kuchezea tope la mtoto wa watu, acha waaibike pimbi hawa.Watu wanne wanaotuhumiwa ‘kutumwa na afande’ kumlawiti na kumbaka binti mkazi wa Yombo Dovya, jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Agosti 19, 2024 wamefiksihwa mahakamani na kusomewa mashktaka mawili.
Watuhumiwa hao wamefikishwa katika Mahakama ya Kanda Dodoma na kusomewa mashtaka ya kubaka kwa kikundi (gang rape) na kumwingilia kinyume na maumbile binti ambaye hakutajwa jina lake mahakamani.
Akizungumza na waandishi wa habari nje ya Mahakama Kuu ya Tanzania mkoani Dodoma, Mkurugenzi Msaidizi Ofisi ya Mashtaka Makao Makuu, Renatus Mkude amesema vijana hao wamekana mashtaka hayo na kutokana na unyeti wa shauri hilo wataendelea kuwa mahabusu.
Watuhumiwa hao waliofikishwa mahakamani ni MT. 140105 Clinton Honest Damas maarufu Nyundo, Amin Lord Lema, Nickson Idala Jackson na C.1693 Playgod Edwin Mushi
Kwa mujibu wa taarifa ya Renatus Mkude, Mkurugenzi Msaidizi Ofisi ya Taifa ya Mashtaka amesema kesi hiyo itasikilizwa kwa siku tano kuanzia leo Agosti 19 hadi Agosti 23 siku ya Ijumaa.
Pia soma:
1. Polisi yaanza kufuatilia tukio la Binti aliyebakwa na wanaume watatu
2. Watuhumiwa wa mande ya Ubakaji na ulawiti waliotumwa na afande wakamatwa
Hao wanachukuliwa kwa ajili ya sanaa na kucheza ngoma tu ndiyo maana alifiti kwenye huo upuuziHuyo mwenye jezi kama ya Simba kafupi sana, kaliwezaje kuwa Askari!
Wengine hawafiriki kama kweli ni yule !Hatutaki drama za poliCCM. Tunataka afande aliyewatuma hawa wahuni kufanya ufiraji naye akamatwe na ikibidi naye afirwe ili liwe fundisho kwa maafande wengine wenye akili za kikwuma kama yeye.
Hayo ni ma a.k.a ya wahalifu. Wahalifu wanaojiita mpaka field marshal sembuse kujiata C?Nakuuliza hizo namba zinazoanzia na MT na C ni za nini?
Kesi hii siku 5. Jamaa wanakula nyundo...imeisha hiyoChangamoto ya hii kesi siyo ushahidi ila ni aina ya ushahidi utakaotolewa.
Ushahidi wa video na picha unaonekana rahisi sana ila kanuni zake za kuuwasilisha mahakamani ni ngumu kiasi.
Mambo ya urefu ni polisi, uhamiaji sio JWTZHao wanachukuliwa kwa ajili ya sanaa na kucheza ngoma tu ndiyo maana alifiti kwenye huo upuuzi
Wakatoliki hutumia neno hilo wakimaanisha MTAKATIFU. Hivyo mwalifu anaweza kujificha kwa kujiita mtakatifu kumbe ni firauni. Ingekuwa inamaana yoyote ya jeshi lolote wangetaja na cheo chaoMT maana yake nini