Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Mvua kali zilizonyesha nchini Brazil zimepelekea maporomoko ya ardhi ambayo yamesababisha uharibifu mkubwa wa miundombinu.
Watu 46 wafariki katika maporomoko ya ardhi yaliosababishwa na mvua kali zilizonyesha nchini Brazil.
Kiongozi wa kitengo kinachohusikana na usalama wa rais katika eneo la Minas Gerais amewatahadharisha wakazi wa maeneo tofauti na mvua kali ambazo zimeripotiwa kuendelea kunyesha.
Kwa ujumla watu 46 wamefariki nchini humo huku 9 wakiripotiwa kufariki katika jimbo la Minas Gerais na 37 katika eneo la Espirito Santo.
Majumba zaidi ya 20 yamekwenda na maji na watu takribani 28 hawajulikani walipo.
Siku tatu za maombolezo zimetangazwa katika jimbo la Minas Gerais na katika miji mingine 47.