Suley2019
JF-Expert Member
- Oct 7, 2019
- 2,203
- 5,610
Polisi Mjini Eldoret wamekamata watu 49 katika zoezi la kusaka na kukamata watu wanaojihusisha na biashara haramu ya mihadarati katika Mji huo. lita mia moja sitini (160) za chang'aa na zanaswa katika msako huo.
Katika tukio la kwanza, linamuhusisha Mwanamke mmoja aliyekamatwa kwenye basi akisafirisha lita 100 za chang'aa, wakati Mjini aldaret watu wengine 48 walikamatwa na lita 60 za chang'aa pamoja na bangi vifurushi 24.
Kamanda wa Polisi katika kaunti ya Wasengishu Bw. Johnstone Ipara amesisitiza kuwa biashara ya mihadarati na bangi haina nafasi katika mji wa Eldoret, atakayekamatwa atachukuliwa hatua za kisheria.
Chanzo: KTN Kenya