Watu 50 wafariki Nigeria baada ya Lori la Mafuta kulipuka

Watu 50 wafariki Nigeria baada ya Lori la Mafuta kulipuka

Wild Flower

JF-Expert Member
Joined
Jul 20, 2023
Posts
378
Reaction score
766
1725876476061.png

Takriban watu 50 wamefariki baada ya lori la mafuta kugongana na lori lililokuwa limebeba abiria na mifugo katika jimbo la Niger Septemba 8, 2024

Msemaji wa shirika la mafaa Nigeria amesema "Tulikuwa na mazishi ya pamoja ya watu 52 jana Septemba 8, 2024 na tuna watu wanane wakipokea matibabu hospitalini," alisema. "Hii bila shaka ni ajali mbaya zaidi tuliyorekodi kwa miaka mingi." Aliongeza kuwa serikali ya jimbo la Niger inalipia gharama za matibabu kwa majeruhi.

Aidha inadaiwa kuwa hali mbaya ya miundombinu na barabara imekuwa chanzo cha ajali nyingi nchini humo​

============For English Audience================
More than 50 killed in Nigeria fuel tanker crash

At least 50 people have been killed in central Nigeria's Niger state, after a fuel tanker collided with a lorry carrying passengers and cattle, the country's disaster agency said.

Speaking to the Reuters news agency after the incident, an emergency rescue worker said they were attempting to recover bodies, as well as dead animals which were still inside the vehicle.

Emergency agency spokesperson Hussain Ibrahim told the BBC that funerals took place for the victims on Sunday.
“We had a mass burial for 52 people yesterday and we have eight people receiving treatment at the hospital," he said.
“This without doubt is the worst accident we have recorded in many years.”

He added that the Niger state government is footing the hospital bill for those injured.
Governor Umaru Bago said he was “pained by the unfortunate incident” in a condolence message to the families of the victims.
Fuel tanker explosions and accidents are common in Nigeria, partly due to the poor state of roads.

SOURCE: BBC​
 
Back
Top Bottom