Watu 60 wajiua kwa kuaibishwa na mikopo ya mtandaoni India. Ni kama utapeli unaofanywa Tanzania

Hivi kabla hujakopa, vigezo na masharti huvipitii?. Sisi wabongo asili yetu ni wezi na matapeli. Tala na branch mliwafungashia virago acha hawa wengine wawanjooshe
 
Nunua Simu mpya smart phone kwa kazi hiyo maalumu tia namba mpya yenye majina mawili tu lako na mke wako na unamwambia kabisa mama nataka kupiga watu hela watakutumia sms kausha.hiyo simu ni special kwa kazi hizo tu hakuna cha kupiga picha, hakuna ya kuweka whatsaps wala nini yani una install application yao tu tuone kama watapata hizo Access.
 
Nadhani wamejipanga kwa hilo pia, watadecline kukupa mkopo kwa sababu hujakidhi vigezo
 
Jamaa alikuandika kama mdhamini wake [emoji23]
sio kweli hizi kampuni za kihuni mm jana wamempigia simu mama mkwe em fikiria hiyo najiteteaje tena mama mkwe swala 5 yan imepita siku 1 et kisa sikupatikana
 
Jiulize wamemjuaje mama mkwe kama hajawekwa kama mdhamini.?
 
Back
Top Bottom