Watu 60 wajiua kwa kuaibishwa na mikopo ya mtandaoni India. Ni kama utapeli unaofanywa Tanzania

Kuna watu wanapenda kukopa jamani...hapo kashakopa asas zotee amebakiza za mtandaoni ambazo hawajui sura zao...mwisho wa siku ndo kama hayo sasa
 
Tatizo mtu yoyote anaweza kukuweka mdhamini wake hata kama humjui
 
 
😂😂😂😂😂hii sasa ndio ubaya ubwela
 
 
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…