Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama akina Al Shabab, Islamic State, Al Qaeda na wengineo wanavyotutafakarisha?Wakristo mnafaa kujitafakali sana Ukristo wenu
Swala la imani kamwe haihitaji logic na hata wewe hapo ulipo kama una imani fulani ya kidini ukweli wake ni kwamba haina logic kwa sababu utakuta kuna mtu tu aliye ianzisha hiyo imani na watu kuifuata tu blindly.Wakristo mnafaa kujitafakali sana Ukristo wenu
Mchungaji kanisani kwetu leo[emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 2279731
AFRIKA BARA LA GIZA LENYE WATU WENYE NGOZI NYEUSI LIMELAANIWA😡Polisi nchini Nigeria wamewaokoa watu 77 wakiwemo watoto kutoka kanisa walimokuwa wamefungwa katika jimbo la Ondo kusini magharibi mwa nchi hiyo.
Baadhi yao wanaaminika kuwa huko kwa miezi kadhaa.
Msemaji wa polisi alisema wengi wao walikuwa wameambiwa kutarajia Ujio wa Pili wa Yesu Kristo mnamo Aprili na waliacha shule ili kushuhudia tukio hilo
Uvamizi huo ulikuja baada ya mama mmoja kulalamika kuwa watoto wake hawapo na alidhani walikuwa kanisani.
Mchungaji wa kanisa la Pentekoste David Anifowoshe na naibu wake wametiwa mbaroni huku waathiriwa wakipelekwa chini ya uangalizi wa mamlaka.
“Uchunguzi wa awali umebaini kuwa Mchungaji mmoja Mchungaji Josiah Peter Asumosa ambaye ni Mchungaji Msaidizi wa Kanisa hilo ndiye aliyewaambia waumini hao kuwa Unyakuo utafanyika Aprili, lakini baadaye akasema umebadilishwa hadi Septemba 2022 na kuwaambia waumini hao watii. wazazi wao pekee katika Bwana," afisa wa habari wa polisi Funmilayo Odunlami alisema.
Kwa ujumla, polisi waliwaokoa watoto 26, vijana wanane na watu wazima 43, aliongeza.
……………..
Police in Nigeria have rescued 77 people, including children, from a church where they were confined in the south-western state of Ondo.
Some of them are believed to have been there for months.
A police spokesperson said many of them had been told to expect the Second Coming of Jesus Christ in April and had abandoned school to witness the event.
The raid came after a mother complained her children were missing and she thought they were in the church.
Police say they are investigating suspected mass abduction after the raid on the Whole Bible Believers Church in the Valentino area of Ondo Town.
The pastor of the Pentecostal church, David Anifowoshe, and his deputy have been arrested, while the victims have been taken into the care of the authorities.
"Preliminary investigation revealed that one Pastor Josiah Peter Asumosa, an assistant pastor in the church, was the one who told the members that Rapture will take place in April, but later said it has been changed to September 2022 and told the young members to obey only their parents in the Lord," said police press officer Funmilayo Odunlami.
In all, police rescued 26 children, eight teenagers and 43 adults, she added. The Second Coming is a Christian belief in the return of Jesus Christ after his Biblical ascension to Heaven.
Rapture is the idea that Christian believers will be taken to Heaven at the Second Coming. Anxiety has been high among Christians in the state since a deadly attack on another church.
SOURCE: BBC
Unyakuo ni mashariki ya kati pekee....Africa maisha ni magumu sana. Bora kusubiri unyakuo tu😀😀
Hii alitaka kugundua size ya nini kwa huyu binti?Mchungaji kanisani kwetu leo😁😁😁
View attachment 2279731
wakutafakatishe watu ambao huhusiki nao?Kama akina Al Shabab, Islamic State, Al Qaeda na wengineo wanavyotutafakarisha?
Fringe elements....ama?
lakini kwa sababu nina akili zangu timamu lazima ile imani niitafakari sio tu kupokea bila kuitafakariSwala la imani kamwe haihitaji logic na hata wewe hapo ulipo kama una imani fulani ya kidini ukweli wake ni kwamba haina logic kwa sababu utakuta kuna mtu tu aliye ianzisha hiyo imani na watu kuifuata tu blindly.
Duh inatisha.Kwa nini wanafanya hivi?Mchungaji kanisani kwetu leo😁😁😁
View attachment 2279731
tutasafiri twende huko tukausubiri, maana dah...hali si haliUnyakuo ni mashariki ya kati pekee....
Unahitaji PhD kujua kuwa Mungu hayupo na mambo ya dini ni utapeli wa watu wa kujinufaisha na kujifurahisha?Duh inatisha.Kwa nini wanafanya hivi?