Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Kwani watu ombaomba na wanafki ila huyu doto magari amezidi.
Huyu jamaa akishajua upo vizuri kipesa basi tegemea kila utakapokutana naye lazima akuombee hela usipompa tu kosa, lazima akakutangaze vibaya kwa watu.
Miongoni mwa watu wasiomkubali huyu jamaa ni Marioo, Dj Ally Bi, Diamond Platnumz nk.
Na wote hawa aliwaingia kuwaomba pesa wakamtolea nje basi kila kukicha anawarushia madongo tu.
Tena naona wiki hii kachachuka sana, kila mara anamzungumzia vibaya Diamond Platnumz na team Wasafi kiujumla.
Sasa watu wameshamjua na mbaya zaidi jamaa hana nyota ya kupendwa na watu, ukija kwenye upande wa elimu ndio Kabisaaaaa hata elimu ya shule ya msingi hakumaliza 🤣🤣🤣🤣🤣🤣.
Naona anajiangaisha bure, eti unamchukia mwanaume mwenzako kisa kakunyima pesa WTF.
Omba omba Doto jirekebishe, acha kupenda pesa za burebure tu, usione Mwijaku anapewa ukadhani ni rahisi au watu ni wajinga wanampa tu.