Watu aina ya Doto Magari ni wa kuwaepuka kama ukoma!

Watu aina ya Doto Magari ni wa kuwaepuka kama ukoma!

Ni mgogo nini maana wagogo ndio waombaji sana ona matonya
 
Ana kipaji sana. Huenda unaminifu kama anavyosema mdau ndio uliomnyanyua. Si unasikia anasema usije na fundi.
 
Uyo jamaa kilichomfikisha apo ni uhaminifu yani ata umtumie milioni 10 akujui ukimwambia nitafutie gari basi gari lako utalipata tu tena lile unalolitaka..matajiri kibao wanamjua anagombewa na wauza magari kibao wanamjua..sasa wewe chawa wa WCB na bilioni 4 zenu za kuchora ata ukimchukia siyo shida kwake..
Uhaminifu × = Uaminifu ✓
 
Jamaa alichosema ni kweli bwana Diamond atakuwa kapiga watu chai. Diamond ni mtu smart sana sio mtu anayeweza kulipa bilion 4 kama ananunua majani ya chai. Diamond ni smart sana kwenye pesa si mtu anayweza kupigwa bilion 4 kifala. Ukwasi anao ila hii story ya kupgwa bilion 4 za ndege itakuwa chai...
Naona die hard fan wa WCB mmeanza kumshambulia
Yeah hiyo ni chai mondi katupiga
 
Dotto ana kipaji ndo maana watanzania tumemfahamu hadi wewe kumuandikia uzi kabisa. Dotto akazie hapohapo. Mungu pekee ndo anajua jinsi ya kumwinua kiumbe wake. Hao kina Diamond hawana tofauti yoyote na Dotto kielimu na kimaadili. Wote wana elimu duni na wamezaliwa na kukulia wilaya ya Kinondoni. Ila kwa miujiza ya Mungu leo hii wanashika pesa nyingi kuliko watu wengi sana town.
Naam.
 
Jamaa alichosema ni kweli bwana Diamond atakuwa kapiga watu chai. Diamond ni mtu smart sana sio mtu anayeweza kulipa bilion 4 kama ananunua majani ya chai. Diamond ni smart sana kwenye pesa si mtu anayweza kupigwa bilion 4 kifala. Ukwasi anao ila hii story ya kupgwa bilion 4 za ndege itakuwa chai...
Naona die hard fan wa WCB mmeanza kumshambulia
Diamond ndege yake ipo karibu kuwasili ndio akaamua kuanzisha upepo ule ili aje kuwakomesha wanaomdis sasahivi
 
Kuna video nimeona anaomba msamaha anaejua kuna lipi lililomsibu?
 
Back
Top Bottom