Ukijaribu kuja kutufukuza mwishowe utaungana na sisi.Hahaaa. Itabidi niwe nategesha Alarm na kuja kuwachungulia ili nikiwakuta niwatowe humu mkalale la sivyo hamtalijenga Taifa ipaswavyo zaidi ya kusinzia mida ya kazi.
CC Davet.
Niambie bwana na mie nije rafiki. Au hutaki nijifunze? Teh [emoji85] [emoji85]Hahah!
[emoji85][emoji85][emoji85]
Wacha weee. Saa kumi hiyo [emoji23] [emoji23]Hahah! nililala lakini nilichelewa kidogo
Sasa nisipokimbia si nitamwagiwa usaha...[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sitaki mieee.
Ila Mwifwa una mbio. Hebu simama. Lol
Hahaaaa. Nitajitahidi nisishawishike. Yaani nawatoa halafu mie narudi kulala.Ukijaribu kuja kutufukuza mwishowe utaungana na sisi.
Yaani ukute watu wanajisevia pilau eti uwafukuze wewe usionje hata kidogo, huo ujasiri utautoa wapi, na hata kama utafanikiwa kuwafukuza lazima utaonja ili ujue nini kiliwafanya wawe busy kiasi hicho[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Huko humtoi kabisa na uzi wa babe wake Shunie alikuwa hukp pia, yani alikuwa anatwanga kotekote
Ahahha!!Ni kweli kabisa hapo hana ujanja tena, tushamnasa
Utanogewa rafikiHahaaa. Itabidi niwe nategesha Alarm na kuja kuwachungulia ili nikiwakuta niwatowe humu mkalale la sivyo hamtalijenga Taifa ipaswavyo zaidi ya kusinzia mida ya kazi.
CC Davet.
Hapo sawa....
Hahahah!!Hahaaa. Davet ni noma aiseeee.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sitaki mieee.
Ila Mwifwa una mbio. Hebu simama. Lol
Hahaaa. Umemuonaeee.
Wewe muache tuUkijaribu kuja kutufukuza mwishowe utaungana na sisi.
Yaani ukute watu wanajisevia pilau eti uwafukuze wewe usionje hata kidogo, huo ujasiri utautoa wapi, na hata kama utafanikiwa kuwafukuza lazima utaonja ili ujue nini kiliwafanya wawe busy kiasi hicho[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Huko pazito ata usitamani kujuaNiambie bwana na mie nije rafiki. Au hutaki nijifunze? Teh [emoji85] [emoji85]
Hahaha!!Wacha weee. Saa kumi hiyo [emoji23] [emoji23]
Aiseee huu ni uvamizi wa uzi wa watu na ukhuty bado hajaja...Sasa nisipokimbia si nitamwagiwa usaha...[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Siku nyingine akitaka kudanganya ajipange....Hahaaa. Umemuonaeee.
Naona libahati limekudondokea [emoji4][emoji4]Nishafika wakunyumba
Thubutu....[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahaaaa. Nitajitahidi nisishawishike. Yaani nawatoa halafu mie narudi kulala.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Eeeeh bwana. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Itabidi nimuone si kwa libahati hiliNaona libahati limekudondokea [emoji4][emoji4]
[emoji23][emoji23][emoji23] libahati la mtende wallahEeeeh bwana. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Itabidi nimuone si kwa libahati hili
Yani jana nilikua na usiku mwanana. Si kwa bahati hili sho[emoji23][emoji23][emoji23] libahati la mtende wallah
Hahaaa kakufanya superstar [emoji23][emoji23][emoji23].Yani jana nilikua na usiku mwanana. Si kwa bahati hili sho
Msaidie kulidaka sasaNaona libahati limekudondokea [emoji4][emoji4]
Hapana aisee naogopa [emoji23][emoji23]Msaidie kulidaka sasa
Eeeh bwana. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kupanic nini tena?Hahaaa kakufanya superstar [emoji23][emoji23][emoji23].
Ila nilipenda vile huku panic
Majibu simple tuEeeh bwana. [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kupanic nini tena?