Watu ambao nataman kuonana nao.

Watu ambao nataman kuonana nao.

Hahaaa. Itabidi niwe nategesha Alarm na kuja kuwachungulia ili nikiwakuta niwatowe humu mkalale la sivyo hamtalijenga Taifa ipaswavyo zaidi ya kusinzia mida ya kazi.

CC Davet.
Ukijaribu kuja kutufukuza mwishowe utaungana na sisi.

Yaani ukute watu wanajisevia pilau eti uwafukuze wewe usionje hata kidogo, huo ujasiri utautoa wapi, na hata kama utafanikiwa kuwafukuza lazima utaonja ili ujue nini kiliwafanya wawe busy kiasi hicho[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hahaaaa. Nitajitahidi nisishawishike. Yaani nawatoa halafu mie narudi kulala.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Huko humtoi kabisa na uzi wa babe wake Shunie alikuwa hukp pia, yani alikuwa anatwanga kotekote
[emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kweli kabisa hapo hana ujanja tena, tushamnasa
Ahahha!!
Hahaaa. Itabidi niwe nategesha Alarm na kuja kuwachungulia ili nikiwakuta niwatowe humu mkalale la sivyo hamtalijenga Taifa ipaswavyo zaidi ya kusinzia mida ya kazi.

CC Davet.
Utanogewa rafiki
Hapo sawa....

Hahaaa. Davet ni noma aiseeee.
Hahahah!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sitaki mieee.

Ila Mwifwa una mbio. Hebu simama. Lol

Hahaaa. Umemuonaeee.

Ukijaribu kuja kutufukuza mwishowe utaungana na sisi.

Yaani ukute watu wanajisevia pilau eti uwafukuze wewe usionje hata kidogo, huo ujasiri utautoa wapi, na hata kama utafanikiwa kuwafukuza lazima utaonja ili ujue nini kiliwafanya wawe busy kiasi hicho[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wewe muache tu
Niambie bwana na mie nije rafiki. Au hutaki nijifunze? Teh [emoji85] [emoji85]
Huko pazito ata usitamani kujua
Wacha weee. Saa kumi hiyo [emoji23] [emoji23]
Hahaha!!
Sasa nisipokimbia si nitamwagiwa usaha...[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Aiseee huu ni uvamizi wa uzi wa watu na ukhuty bado hajaja...

Familia inafujo sana

[emoji3][emoji3]
 
Back
Top Bottom