Hahahaaaaa. Itakuwa wote basi rafiki.Hahah!! Mwifwa huyo mimi unanisingizia tu [emoji16]
Ndio na wewe ukiwepo [emoji23]Hahahaaaaa. Itakuwa wote basi rafiki.
Utaweza kabisa wala usipate shida kwa hiloHahahaaa. Hivyo sitalala mdogo wangu naweza fika asubuhi?
Wala mdomo wako usibaki wazi Mshenga ufunge huku ukijua Watu wa Tanga ni moto wa kuotea mbali hasa upande wa Mapishi.aisee nimebaki mdomo waziii
hahah
Wala mdomo wako usibaki wazi Mshenga ufunge huku ukijua Watu wa Tanga ni moto wa kuotea mbali hasa upande wa Mapishi.
Karibu sana Mshenga.
Ila Davet kakutahadharisha tu bwana. Punguza woga.
Kubeba bendera ya Taifa si mchezo, lazima uwakilishe ipasavyo na kulitangaza Taifa kwa juhudi zote
Hahahaaaaaa. We Davet weweeeee.Ndio na wewe ukiwepo [emoji23]
Hapa kwenye majukumu sasa ndio kimbembe maana kila mtu anataka kumsukumizia mwingine ili aepuke lawama[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahah!! Mwifwa huyo mimi unanisingizia tu [emoji16]
Hahahaa. Haya mdogo wangu.Utaweza kabisa wala usipate shida kwa hilo
Ahsante sana Mshenga.saw a sawa.
hapo ndo pazur zaid.
karibuni
Hahah!Wala mdomo wako usibaki wazi Mshenga ufunge huku ukijua Watu wa Tanga ni moto wa kuotea mbali hasa upande wa Mapishi.
Karibu sana Mshenga.
Ila Davet kakutahadharisha tu bwana. Punguza woga.
[emoji23][emoji23][emoji23]Hahahaaaaaa. We Davet weweeeee.
Nina imani hayuko hewani, tumsubiri atakuja
Tumeshakubaliana kuyavaa wote watatu tuliopo humuHapa kwenye majukumu sasa ndio kimbembe maana kila mtu anataka kumsukumizia mwingine ili aepuke lawama[emoji23] [emoji23] [emoji23]