Watu ambao nataman kuonana nao.

Watu ambao nataman kuonana nao.

Wala mdomo wako usibaki wazi Mshenga ufunge huku ukijua Watu wa Tanga ni moto wa kuotea mbali hasa upande wa Mapishi.

Karibu sana Mshenga.

Ila Davet kakutahadharisha tu bwana. Punguza woga.

haha.
ahsante mwali kwa kunishusha hii pressure, maana kidogo inizidi speed.
but nimekuelewa
 
Back
Top Bottom