Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,445
- 205,933
[emoji1] [emoji1]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1] [emoji1]
Hapo sawa sasaNina rada hapa naona kinachoendelea tu hata nisipohudhuria
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Sina la kuongeza hapo majina yenyewe ya Dada zetu yanajieleza..
Hahahaaa. Lol.View attachment 742845
Ebu mwambie amzoee machoni kwanza
[emoji173][emoji173]Mzigua90
Genta
Akiizoea sura hatopata shida siku akija maana watu wengine wana aibu sana kuzoea watu kwa harakaHahahaaa. Lol.
Heheheh!!!
Kweli kabisa yaani mdogo wangu.Hapo sawa kabisa, sisi ni familia mmoja miongoni mwetu anawakilisha familia nzima.
Bila shaka umzima wa Afya Dada yangu.
Nikutakie Asubuhi njema na kazi njema!
Kabisaaa. Namkaribisha kwa mikono miwili mie.Naona bado hajasikia habari za huyo mrembo mwenye busara tele ila akija home atakutananae
Ahsante sana Dada yangu.Kweli kabisa yaani mdogo wangu.
Niko poa kabisa namshukuru Allah. Nawe pia uwe na kazi njema.
Hahaaa. Mnalala saa ngapi sasa? Nimejiuliza tu mie.
Mdogo wako anajua wapi ila wewe itabd utangulieUtuone wapi? Sisi tupo kaka yetu
Sawa mdogo wangu. [emoji120] [emoji120]Ahsante kwa ushauri wako Dada yetu, nitaufanyia kazi
Ndo mnambie sasa. Maana nshapoteza mood ya kazi saa hiziMdogo wako anajua wapi ila wewe itabd utangulie