Watu ambao nataman kuonana nao.

Hapo sawa kabisa, sisi ni familia mmoja miongoni mwetu anawakilisha familia nzima.

Bila shaka umzima wa Afya Dada yangu.

Nikutakie Asubuhi njema na kazi njema!
Kweli kabisa yaani mdogo wangu.

Niko poa kabisa namshukuru Allah. Nawe pia uwe na kazi njema.
 
Kweli kabisa yaani mdogo wangu.

Niko poa kabisa namshukuru Allah. Nawe pia uwe na kazi njema.
Ahsante sana Dada yangu.

Siku ya leo naona kuna neema kidogo maana Jamhuri imelegeza hadi muda ndio maana nipo hapa hewani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…