EwaaaaaaaaJinsi utakavyopenda mwenyewe mkuu
Nishamjibu huyo
Hahaaa. Kabisaaaaa.lakini ndio ukweli huo
Kweli kabisa mdogo wangu.Akiizoea sura hatopata shida siku akija maana watu wengine wana aibu sana kuzoea watu kwa haraka
Mimi nalala mapema tu ila Mwifwa sasa ndio tatizoHahaaa. Mnalala saa ngapi sasa? Nimejiuliza tu mie.
Inabidi mniambukize hii tabia kwa kweli. [emoji85]
Kashajibiwa rafiki yeye aandae tu
Hihihihihiiii.Heheheh!!!
Ooh. Hapo sawa nilitaka kushangaa dada yakoAhsante sana Dada yangu.
Siku ya leo naona kuna neema kidogo maana Jamhuri imelegeza hadi muda ndio maana nipo hapa hewani
Ha ha ha ha Mdogo wangu saa nne hii mood imekata nmekushindwaNdo mnambie sasa. Maana nshapoteza mood ya kazi saa hizi
Nimeona mdogo wangu. Achague tu yeye.Nishamjibu huyo
Hohoh!Hihihihihiiii.
Shemeji ako kaniboa kaka.Ha ha ha ha Mdogo wangu saa nne hii mood imekata nmekushindwa
Zile thawabu tunazozipata tangu mgeni aje hadi kuondoka zisitupite kabisa...Nimeona mdogo wangu. Achague tu yeye.
Ila akija kwetu ndio itakuwa poa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ha ha ha ha ha umelala saa saba ya tar 13 umeamka saa moja ya tar 13
Huhuhuu.Hohoh!
Kweli kabisa mdogo wangu.Zile thawabu tunazozipata tangu mgeni aje hadi kuondoka zisitupite kabisa...