Watu ambao nataman kuonana nao.

Watu ambao nataman kuonana nao.

Hello wana chamvi, tangu nijiunge na mtandao the huu wa Jf nimekuwa nikifatilia baadhi ya thread za watu na hawa ndo nilitaman kuonana nao live (mubashara)
1.Demiss
2.Mzigua
3.Bujibuji
4.Mshana Jr
5.Miss natafta.
So kama upo tayr plz nipe appointment yako.
Msijui tuuh bujibuji..! Sababu sina interest naye kivile..
 
Ila tuwe makini anaweza akaja kuganda na kusahau kuondoka
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Akipikiwa na wale watoto wa kitanga na akiwaona kweli anaweza kuomba abaki
 
Back
Top Bottom