Mwifwa
JF-Expert Member
- Apr 3, 2017
- 48,474
- 125,866
Ngoja wakiamka waanzenae ukarimu huku huku
Ebu mwambie amzoee machoni kwanza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja wakiamka waanzenae ukarimu huku huku
We are the familyHello wana chamvi, tangu nijiunge na mtandao the huu wa Jf nimekuwa nikifatilia baadhi ya thread za watu na hawa ndo nilitaman kuonana nao live (mubashara)
1.Demiss
Shemeji wangu
2.Mzigua
Kademu langu
3.Bujibuji
Baba like babu
4.Mshana Jr
The visionary
5.Miss natafta.
My dear mchepuko
So kama upo tayr plz nipe appointment yako.
I'm only one call away baby girl!Ajitokeze mtu basi hata wa kuonana namimi..mweh!![emoji85]
Duh..lalaI'm only one call away baby girl!
[emoji12] [emoji12] [emoji12]
Nalala vipi wakati wewe uko huku?Duh..lala
Huh! Hivi kumbe niko macho..!! Nalala sasaNalala vipi wakati wewe uko macho?
Nahisi na mimi pia naweza kulala sasa!Huh! Hivi kumbe niko macho..!! Nalala sasa
Haya ulale unonoNahisi na mimi pia naweza kulala sasa!
Same to you, uniote mimi!Haya ulale unono
Usijali mkuu tuombe uwepo wa pumzi tu
sawa sawa.Siri yangu mkuu
Naaman huyu MTU aache utoto wakishambaa km ujanielewaa polee
Kabisaaaa. Mdogo wangu.Mimi naandaa mmapokezi ya mgeni hapa, ukarimu kwa kwenda mbele
Hapo sawa kabisa, sisi ni familia mmoja miongoni mwetu anawakilisha familia nzima.
Kwakweli hatojutia kutembelea nyumbani kwetu
Mjue nimejikuta naangalia huu muda mliopost. Lol.Ngoja wakiamka waanzenae ukarimu huku huku